rais

  1. L

    CHADEMA kujiandaa kumjibu Rais Samia ni utovu mkubwa wa adabu

    Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua sasa hivi unafundishwa na wanasheria namna nzuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee wangu Huna sababu ya kumjibu Rais, yeye ni kiongozi wa nchi, usije kusema sikukwambia. Pia soma...
  2. Ahadi ya Rais Samia ya Ujenzi wa Kiwanda cha Chumvi Yaanza Kutekelezwa - Lindi

    AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025 Kiwanda...
  3. Rais Samia kwa niaba ya wengi usiruhusu wachache waturudishe kule tulikotoka!

    Friends and Enemies, Rais Samia,Usiwaruhusu wakufanye uwe mjinga kama jamaa yule kwenye suala hili la demokrasia, Au pia usiwaruhusu wao wakufundishe namna gani ya kuifanya hii demokrasia ili hali wao wenyewe wanadai katiba mpya na demokrasia ili hali kwenye vyama vyao wameshindwa...
  4. Rais Samia atakuwa anapotoshwa kuhusu CHADEMA kufanya vurugu

    Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu...
  5. Rais wangu kipenzi Samia kwaheri umeniumiza sana

    Rais Samia amini kwa dhati nilikupenda na niliamini kweli umekuja kutufuta machozi baada ya miaka 6 ya hofu na mateso mengi. Ulianza vizuri kufanya upatanisho baada ya mtangulizi wako kuichafua historia nzuri ya taifa letu ukazidi kutufurahisha wapenzi wako baada ya kuja na 4R tukaendelea...
  6. L

    Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu. Hii leo Magazeti yamepambwa...
  7. Rais Samia Watalii na Uwekezaji unaojivunia hautakuwepo kama Usalama wa nchi ni wa kusuasua. Vijembe havisadii unazidi kubomoa

    Wakuu, Katika Mkutano leo Rais Samia amejitapa kuwa nchi ipo salama, lakini pia utalii na uwekezaji unaongezeka. Kwa matukio yanayoendelea ni kweli kuna usalama? Wewe jibu unalo lakini pia watanzania majibu wanayo. Mnapoingia chaka ni kudhani matukio haya yanaathiri tu wananchi wa wachache...
  8. Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao yaliyosababisha mshtuko na hisia kali nchini. Akizungumza Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya...
  9. Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

    Naona leo umejitutumua mama yangu! Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli. Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote! Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi...
  10. Kitendo cha Rais Samia 'kutowawajibisha' Waziri Masauni na IGP Wambura ni dharau tosha kwa Watanzania

    Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
  11. PreGE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  12. Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
  13. PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  14. G

    Naombeni tupige hesabu, Rais anateua watu wangapi nchini

    Baadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k. Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza majaji wa mahakama - ??? wakuu wa mikoa - 26 makatibu tawala wa mikoa - 26 wakuu wa wilaya - 139 makatibu tawala wa wilaya - 139 Wakurugenzi watendaji wa...
  15. G

    Mwenye nguvu mpishe: Watu wa makundi haya hawagusiki kirahisi, wana nguvu kubwa sio wa kugombana nao utazama kwenye kina kirefu

    Wateule wa Rais - Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, n.k. Watumishi wa vyombo vya ulinzi - Polisi, Jw, Usalama. Wahindi na Waarabu - $$$ (top 20 ya matajiri wanapokezana namba), Connections nzito, Exposure, umoja. Watu wao wa karibu - watoto, ndugu, wazazi, marafiki...
  16. Rais wa Msitu

    Hadithi ya Uongozi na Mamlaka Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii, inayoongozwa na sheria zake za asili na kuishi, ilijikuta ikihitaji kiongozi. Hivyo ndivyo hadithi...
  17. R

    Unafahamu namna yakuzungumza na Mhe. Rais?

    Watanzania mnaotaka kuzungumza na Mhe. Rais mnakaribushwa kujadiliana naye. Anasoma na kutafakari yale yenye tija kwa Taifa na atayafanyia kazi. Zumza naye kwa kuandika hoja yako hapa. Uwezekano mkubwa ni kwamba atakujibu kwa vitendo siyo maandishi. Ukimwambia kuna watu wanapiga dili yeye...
  18. Dkt. Philip Mpango wa Magufuli alistahili kuwa waziri wa Fedha, Mpango wa Samia hafai kuwa hata mkuu wa Mkoa

    Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
  19. Rais mstaafu Jakaya Kikwete, alishawaonya CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi kuwafanya wao waendelee kukaa madarakani

    Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4 aliwaonya vikali CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi, kuwafanyia siasa na badala yake wapambane...
  20. B

    Rais Azali Assoumani wa Commoro anusurika baada la shambulio

    Ijumaa 13 September 2024 Moroni, Comoros Rais Azali Assoumani mwenye umri wa miaka 65 amenusurika shambulio la jaribio la kumuua wakati akihudhuria maziko ya kiongozi mkubwa kidini siku ya ijumaa tarehe 13 September 2024 nchini Comoro katika mji mdogo w Salimani - Itsandra karibu na mji mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…