rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Adv Mwambukusi tunaomba uwe na utambulisho ( Identified user) hapa JF

    Kwanini: Hii itasaidia kukupa mawazo, taarifa, fikra njema za wapenda haki ambao si rahisi kukufikia by whatever simple means. Na kwa njia hiyo utazifanyia kazi kama zitakuwa within your REACH!. Pia utaweza kupata the way out on a number of issues that need your attention as President of...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia kushiriki kikao na Maafisa Kilimo

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  5. L

    JamiiForums Tanzania Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris kuchaguliwa Rais wa 47 wa America, ni ukweli usiopingika kwa sasa

    Wamarekani walishuhudia kasi aliyokuwa nayo Trump ya kushinda Urais, wakati mgombea wa Democrat alipokuwa Joseph Robinette Biden Jr. Kuingia kwa Kamala Harris kumebadili kabisa mwelekeo; hasa ukizingatia kuwa Trump alikuwa anakazia udhaifu binafsi wa Biden kutokana na umri, na akajisahau...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sikutarajia kama Rais Samia atakuja kuwa namna hii alivyo sasa!

    Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi. Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo. Tanzania haina taasisi imara, hivyo kauli ya kiongozi wa juu zinahitajika ili baadh ya mambo yaende...
  8. JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili Mwabukusi azawadiwa kuku.

  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanasiasa mnaowapeleka Watu kwenye Hifadhi ili uchaguzi ukikaribia muwatetee, acheni hizo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye huku akiwaonya Madiwani na Wabunge wenye tabia ya kuanzisha Vijiji ndani ya maeneo ya hifadhi hasa kipindi cha kuelekea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

    Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU. Kila unaposimama unaonekana Kila unalofanya linaonekana Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu Amini, watakalo watu ni Sheria
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aielekeza TANROADS Kutoa Kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa

    RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi Rais Mpya wa Tanganyika

    Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi akianzisha chama chake nje ya vyama vilivyopo vinavyotumia "surname" kwa ajili ya kusurvive akitanguliza maslahi ya Tanganyika basi asubuhi sana Watanganyika watampigia kura ya urais ili kulinda maslahi na rasilimali za Tanganyika,rejea mapambano ya Wakili...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TANROADS wapeni Wazawa kipaumbele wajenge Barabara na Madaraja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara na madaraja ili kuwajengea uwezo na kufanya uchumi kuwa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anasepa na kijiji kwa Kijiji Morogoro

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Ziara hii ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kuzindua miradi ya kimkakati, kuhamasisha maendeleo na kitatua kero za wananchi. Wakati Rais akifanya ziara...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Injinia Hersi hizi za chini chini Mimi niliye mbali Kijiografia nilizonazo na Wewe pia unazo au?

    Kuwa kuna Mtu Kesho Citizens Day anaweza akayakoga Matusi makubwa, kutakiwa aondoke na hata Kupopolewa pia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…