rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwenye kazi kuna taaluma na kujiongeza, jiongezeni inabobidi ili kuwatumikia Wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024. Uapisho huu unahusisha Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mawanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali. Jaji wa Mahakama ya...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Argentina atuhumiwa kwa kosa la Unyanyasaji

    Rais wa zamani wa Argentina, Albero Fernandez (65) anatuhumiwa kwa mashtaka ya Unyanyasaji dhidi ya mke wake wa zamani Fabiola Yañez (43) Waendesha mashataka nchini humo wameanza uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo baada ya Fabiola kuwasilisha mashtaka ya kupigwa na kulazimishwa kutoa ujauzito...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

    Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya. Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia! Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
  4. JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  5. JamiiForums Tanzania Rais kapata Uongozi kwa neema na rehema za Mungu, ajiepushe na Kiburi!

    Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa. Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda atawale muda mrefu, Mungu hakumpa hiyo nafasi. RAIS husikilizi vilio vya wananchi katika maeneo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais wetu kwanini shule za maeneo ya mjini Arusha ni wanawake? Mama mpumzishe Mchengerwa

    Mh. Rais wetu nchi hii ina ubaguzi mkubwa, kwanini mnawanyanyasa wanaume? Kwa mfano shule ya msingi na sekondari Kaloleni iliyoko Arusha mjini walimu wote zaidi ya 50 ni wanawake, kwanini, walimu wa kiume wako wapi. Jibu ni kwamba wale walimu ni wake wa viongozi pale Arusha, Mkurugenzi hana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais samia kaamua kumstaafisha mstaafu na kupambania legacy yake

    Mstaafu kastaafu wananchi pamoja Rais Samia wamemstaafisha . Rais Samia kaamua kutengeneza kumbukumbu yake kwa vizazi vijavyo Kaamua ku move na watu watakao msaidia kutimiza lengo lake . 2030 hope atastaafu ,Mungu akimjalia kuishi miaka 20-30 mbele afurahie alicho kifanya . Ni jambo zuri...
  8. JamiiForums Tanzania Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

    Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

    Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea Ikulu katika uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hapo siku ya jana usiku. Ambapo katika uapisho huo...
  11. JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson na msaada wa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 26 Julai, 2024 alitoa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Kata ya Ching'anda Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante ahsante Rais wetu, ahsante Doroth Gwajima; tunajivunia serikali yetu

    Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa taarifa. Hongera Max, hongera waziri, hongera mh. Rais wetu, haki itendeke
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

    Naomba nipate ufafanuzi wa kisheria hivi mtu kutoka Tanzania bara yaani Mtanganyika anaweza kwenda kugombea urais Zanzibar?
  14. JamiiForums Tanzania Chadema inabagaza sera ya Rais Samia ya 4R

    Hii si sawa na lazima isemwe. Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa. Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na kupambwa na vyama vya upinzani nchini Tanzania na hususani wafuasi wa chadema dhidi ya hayati...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapanda mbegu za anguko lake 2025

    Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka". Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake. Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila...
  16. J

    JamiiForums Tanzania KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA

    KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024 imetoa fedha kwa Wakala ya Barabara...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku! Aksanteni sana
  18. JamiiForums Tanzania Nikweli Rais Samia yuko kwenye viganja vya GSM? Msikilize Mzee Magoma

    Huyu mzee anaweza kuwa msaada mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwakutaja hao watu waliomwambia kuwa Rais Samia hafurukuti mbele ya GSM vinginevyo ukimya utathibitisha kuwa maneno yake ni yakweli. https://youtu.be/X4hGFQt829g?si=TJtK14gEvE_EUMyD
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ajira zimemwagwa kila kona jamani mama amesikia vilio vya vijana kuliko yule jamaa aliyejigamba kuwa rais wa wanaontingwa.

    Seriksli imemwaga ajira kila pahala na kila sector. Huku sector binfsi sasa usiseme.
  20. JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…