Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji.
Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri.
Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035.
waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
Ukiona mtu anajisifu mwenyewe kwa ahisiyo amefanya tambua ni mjivuni kwa mujibu wa wahenga wetu.
Hali hiyo ndiyo inayojionyesha kwa Rais Samia.
Mda mwingi Rais Samia amekuwa akijiona na kujisifu peke yake eti amefanya hiki na kile na hapaswi kulaumiwa kwa lawama anazolaumiwa na wengi wa...
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.
https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
"Mkiambiwa kwamba Mwenyekiti wa CCM na Rais wenu Samia ni mwuaji waambie ni kweli bila hofu. Ninaua Sisimizi wenye nguvu hasi ya Upinzani dhidi ya serikali ya CCM, ninaua Sisimizi waletao umasikini, ninaua Sisimizi wenye mambo hasi ya kuturudisha nyuma kiuchumi, ninaua Sisimizi waletao giza...
Jana tarehe 28.9.2024 pale mkoani Ruvuma mh. Rais amesema yeye hajawahi kuua mtu labda sisimizi. Nimefurahi mno kusikia hivyo na imekua bora zaidi umekataa ukatili na unyama huo kwa kinywa chako. Hongera sana mama
Tatizo litakapokuja ni wale uliowaambia wajibu wala wasiogope.
Unawaambiaje...
Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi.
Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria.
Endapo...
Labda pengine wengi wa viongozi wa dini ni makanjanja, nikimaanisha hawafahamu na hawako kiwito wa kiutumishi hasa wa kusimamia wana kondoo kwa usawa, hekima, kwa jinsi NENO, lisemavyo, watumishi hao baadhi wameonyesha kujiingiza moja kwa moja kwenye baadhi ya vyama vya kisiasa as if ni...
28 September 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s
Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC sheikh Habibu Mbota.
Mkutano huo mkubwa wa kitaifa utahudhuriwa wajumbe zaidi ya 400 wa mikoa...
Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi.
Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni Zaidi ya Upendo ndugu zanguni Watanzania.Haijawahi kutokea hapa Nchini pengine hata ndani ya Bara zima la Afrika kwa Mwanasiasa kupendwa ,kukubalika,kuungwa mkono,kusikilizwa ,kufuatwa ,kubeba na kukusanya watu Wengi kiasi hiki Utafikiri watu wanavutwa kwa sumaku...
Naona kabisa kumekuwa na mpasuko nchini kuna ambao wameamua kushabikia au kuunga mkono Hamas na Hezbollah na wengine ambao wanaunga mkono Israel.
Huu mpasuko si mzuri kwa nchi. Inabidi kuangalia namna ambavyo Rais wetu anaweza kuwakutanisha hawa watu akawapatisha. Sababu ni rais anayesikilizwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe .
Amefika hapo kwa...
Nimekula chumvi nyingi hivyo najua mihemko ya Taasisi ya Rais, imekuwa ni utaratibu wa tawala zetu hapa nchini kuja na mihemko na kutoa ahadi nyingi ili kuongeza mapambo katika sanaa za siasa.
Nakuja na mapendekezo yafuatayo ili kuepuka majoto:
1. Ni wakati sasa ianzishwe taasisi ya House of...
Nimemsikiliza Waziri Mchengerwa na Rais Samia kuhusu wagonjwa kusafirishwa kwenye matenga Kata ya Mchoteka Wilayani Tunduru na kujiridhisha kuwa WAMEDANGANYWA, hawajapata picha halisi.
Kwenye maelezo yake, Mchengerwa anazungumzia uwepo wa ambulance Tunduru. Hili halikuwa na ubishani. Hata wale...
Nalazimika kukueleza Rais wangu Mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kuwa mvuto wako unazidi kushuka, kadri siku zinavyosonga mbele.
Kwa kweli Mimi nilikuwa mmojawapo niliyekuwa nakuunga mkono sana, baada ya wewe kuchukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Rais John Magufuli baada ya...
jumuiya
katika
kimataifa
kushuka
mvuto
nchini
raisrais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
wako
wazi