Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya.
Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome, katika hafla inayoandaliwa kwenye jumba la Mikutano la KICC jijini Nairobi.
Kindiki anachukua...