rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. kilio

    Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  2. C

    Rais samia suluhu Hassan kushiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chamwino

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 4, 2026, anashiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma. Rais Samia anatarajiwa kuungana na wapiga kura wengine kumchagua Mwakilishi wa Jimbo hilo katika Kituo Namba Tano kilichopo Ofisi...
  3. C

    Faris Buruhani: Rais Samia amewatoa vijana kwenye Umaskini na kuwafanya kuwa matajiri

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Buruhani, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza katika kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia wizara, halmashauri na taasisi mbalimbali za kifedha. Akizungumza Oktoba 31, 2026...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  5. C0000-5068-428-1

    Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  6. C0000-5068-428-1

    Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  7. Ndagullachrles

    Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan yaizindua Manispaa ya Moshi suala la usafi soma Tangazo lao

    Manispaa ya moshi yazinduka suala la usafi lakini bado sana hasa hapo mbuyuni wachuuzi wametoa bidhaa zao ndani na kuhamishia nje Barabara kutoka Cape Town kushuka mashine kwa gogo imeziba,kusho Bajaj,kulia wachuuzi Kwenye njia za watembea kwa miguu kuanzia NMB,CRDB kumezibwa na wachuuzi watu...
  8. O

    Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  9. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  10. Roving Journalist

    Tundu Lissu: Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa shahidi wangu apelekewe barua ya wito

    Baada ya Mahakama kutoa uamuzi kwamba mshtakiwa Tundu Lissu ana Kesi ya kujibu, Lissu amesema kwamba atakuwa na mashahidi 11 ikiwemo yeye mwenyewe kujitetea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu Dkt. Mpango, Waziri Mkuu mstaafu...
  11. The Palm Beach

    Mch Peter Msigwa: Serikali na Rais Samia Suluhu Hassan, swallow your pride & ego. Mwachieni Tundu Lissu, hana hatia..!

    https://youtu.be/MlQRJzlk_JM?si=6mw_RwolPu_sNa9P Ameyasema haya leo akiongea na waandishi wa habari huko Iringa. Ameitaka serikali chini ya CCM ikiongozwa na Rais Samia kuweka kiburi na majivuno (pride & ego) pembeni na wasione haya, soni wala aibu kukiri kuwa wameshindwa, wamwachie Tundu Lissu...
  12. baz kaiza

    Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  13. instinct desire

    Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  14. Zack Abdul

    Rais Samia ameingia kwenye orodha ya dhahabu ya viongozi mashuhuri duniani

    Unapomwona Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akivishwa joho la heshima ya juu kabisa ya kitaaluma nchini Urusi fahamu kuwa ameingia kwenye kitabu kimoja na viongozi wenye ushawishi mkubwa zaidi waliwahi kutikisa diplomasia ya dunia. Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University)...
  15. Rashda Zunde

    Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
  16. Tutu kalundji

    Rais Samia Suluhu Hassan bado ni kiongozi imara na bora kabisa. nimeweka mifano halisi

    Wakati Madame President, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anaingia ikulu alikuta mtangulizi wake Hayati John Pombe Magufuli akiwa kapiga hatua nzuri ila nchi ilikuwa na mzigo wa kuhudumia project nyingi ambazo zilihitaji mabilioni ya shilingi kuweza kukamilisha kwa wakati.Hapo hapo uhusiano na...
  17. C

    Watanzania tunaompenda, kumjali na kumthamini bila kujificha Rais Samia

    Hii ni fursa kwa Watanzania tunaompenda,kumjali na kumthamini bila kujificha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan .Tunajua Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 chini ya Chama cha Siasa tawala ambacho kimejenga msingi ambayo ndiyo ni Tanzania toka mwaka 1961. Kutokana na maendeleo CCM imekutana na...
  18. H

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  19. N

    Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara...
Back
Top Bottom