rais samia suluhu hassan

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Rais Samia akizungumza na wananchi wa Bomang’ombe

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai wakati akielekea Moshi mkoani Kilimanjaro, tarehe 20 Novemba, 2026.
  2. M

    Shaka atekeleza maelekezo ya Rais Samia ya kuwagawia viwanja wananchi walioondolewa mabondeni kilosa

    DC SHAKA AKABIDHI VIWANJA 340 KWA WAHANGA WA MAFURIKO TINDIGA Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka amekabidhi viwanja 340 vya makazi kwa wahanga wa mafuriko katika Kata ya Tindiga, katika hafla iliyofanyika Kijiji cha Malui. Akizungumza katika hafla hiyo, Shaka amebainisha kuwa pamoja...
  3. kilio

    Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  4. AI BRAINFULL

    Nawakumbusha tu kuwa rais wa Tanzania ndio mwenyekiti wa CCM

    Kwaiyo wanachama na wajumbe wa CCM wanamuogopa RAIS na si mwenyekiti huku wapinzani,wana harakati wanapinga mwenyekiti wa CCM kuchagua,kuteua na kutengua watu muhimu wanaopaswa kua HURU NA KUTOA HAKI KWA TAIFA
  5. Dalton Elijah

    SI KWELI IGP Camillus Wambura “Rais Samia ameshushwa kutoka mbinguni

  6. C

    Naibu waziri asuka msuko wenye jina la Rais Samia kichwani. Asema Samia ni kama maji; usipoyaoga, utayanywa

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eng. Maryprisca Mahundi amesuka msuko wenye jina la Rais Samia kichwani mwake, Asema Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  8. C0000-5068-428-1

    Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  9. Dalton Elijah

    SI KWELI Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, na Mo Dewji watajwa kwenye uwekezaji wa Tembo wealthveld mtaji ni kuanzia Tsh 665000

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania likidai kuwa “The Financial Council has approved a new income system” inayofanya fanya kazi na NMB Bank Plc pamoja na Serikali ya Tanzania. Chapisho hilo linawataja Rais Samia Suluhu Hassan, Mohammed Dewji na Mwigulu...
  10. Roving Journalist

    TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia. Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi...
  11. O

    Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  12. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  13. Roving Journalist

    Tundu Lissu: Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa shahidi wangu apelekewe barua ya wito

    Baada ya Mahakama kutoa uamuzi kwamba mshtakiwa Tundu Lissu ana Kesi ya kujibu, Lissu amesema kwamba atakuwa na mashahidi 11 ikiwemo yeye mwenyewe kujitetea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu Dkt. Mpango, Waziri Mkuu mstaafu...
  14. S

    Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa Tsh Bilioni 1.8 kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais Samia Suluhu Hassan

    Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8. Wachimbaji hao wamenunua picha inayowaonesha Pomboo (Dolphin) wakiwa ndani ya maji Kizimkazi. Katika hafla ya usiku wa sanaa...
  15. The Palm Beach

    Mch Peter Msigwa: Serikali na Rais Samia Suluhu Hassan, swallow your pride & ego. Mwachieni Tundu Lissu, hana hatia..!

    https://youtu.be/MlQRJzlk_JM?si=6mw_RwolPu_sNa9P Ameyasema haya leo akiongea na waandishi wa habari huko Iringa. Ameitaka serikali chini ya CCM ikiongozwa na Rais Samia kuweka kiburi na majivuno (pride & ego) pembeni na wasione haya, soni wala aibu kukiri kuwa wameshindwa, wamwachie Tundu Lissu...
  16. baz kaiza

    Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  17. instinct desire

    Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  18. C

    Watanzania tunaompenda, kumjali na kumthamini bila kujificha Rais Samia

    Hii ni fursa kwa Watanzania tunaompenda,kumjali na kumthamini bila kujificha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan .Tunajua Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 chini ya Chama cha Siasa tawala ambacho kimejenga msingi ambayo ndiyo ni Tanzania toka mwaka 1961. Kutokana na maendeleo CCM imekutana na...
  19. H

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  20. DuaZaMama

    Rais Samia kulihutubia taifa leo saa 3 usiku kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari leo, Desemba 31, 2025, majira ya saa 9:00 usiku.
Back
Top Bottom