raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DUMILA: Msafara wa Raia Samia wasimamishwa kwa Muda

  2. JamiiForums Tanzania Inakuaje sare za Jeshi zishonwe na raia, akiwawekea sumu SI watakufa kama Mende awa?

    Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo. Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi? Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda? Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Polepole ataongea tena, tutapata uchungu zaidi lakini je, ni nani wa kutuokoa?

    Kichwa kimekuwa kizito baada ya kumsikiliza ndugu Polepole, kuna nyakati unakutana na habari ngumu usiyo na majibu hata unaona bora usingeijua...! Ni dhahiri kuwa haitatokea mgombea mkuu wa Nafasi ya Urais kwa sasa kujitoa, wala chama chake kutengua maamuzi, lakini pia hakuna mbadala sahihi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Baada kushindwa kupambana na Hamas Israel inapambana na raia na watoto ililenga moja kwa moja waokoaji wa Kipalestina hospital Nasser. Khan Younis

    Wanaukumbi. Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis. Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among those killed, along with at least eight others ================ Israel ililenga moja kwa moja...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima na Joyce Ndalichako wamchanganya raia. Apewa za uso papo hapo

    Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli. Uzi tayari The Mongolian Savage BICHWA KOMWE - Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian litutumbwe Mufti kuku The Infinity
  6. JamiiForums Tanzania Nini hatima ya watanzania, Inatosha sasa! Yaliyosemwa na Dkt. Slaa na Polepole yanaumiza

    Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio. Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na kelele zote hizi Bado Mh Rais, sisi raia tunatekwa?hivi utatwambia Nini kwenye kampeni?

    Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 No reforms no election itatekelezwaje, raia tujiandaeje?

    Usalama kwanza Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia uchaguzi kama hizo reforms hazitatekelezwa ili tujiandae mapema. Kuna wakati nilitaka kuamini kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mix by Yass heshimuni wateja haya madisco hapo makumbusho stand siyo haki kwa raia

    Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka, makelele mtindi mmoja hakuna kusikilizana. Hii siyo sawa. Pia tunauliza mamlaka za kudhibiti kelele...
  11. JamiiForums Tanzania Nitaidharau sana Serikali yoyote ile duniani ambayo inapewa 'Ultimatum' na Raia tu wa kawaida au Kikaragosi yoyote mwenye Ushawishi katika Jamii

    Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya Familia akampa Masharti Baba mwenye Nyumba? Kama kuna Serikali yoyote ile duniani imepewa Masharti...
  12. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  14. JamiiForums Tanzania Kero ya watu kudrift magari yao kwenye mitaa ya raia.

    Habari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza kushtaki wapi? Huku kwetu mwananyamala kuna wadau wa magaari yao wanakuja mtaani na kudrift magari...
  15. JamiiForums Tanzania Aina za biashara zilizopigwa marufuku kwa wageni wasio raia

    Uuzaji wa bidhaa kwa jumla na rejareja (isipokuwa supermarket, maduka ya bidhaa maalum, na vituo vya jumla vya wazalishaji wa ndani). Uhamishaji wa fedha kwa njia ya simu (mobile money). Matengenezo ya simu na vifaa vya kielektroniki. Biashara ya saluni (isipokuwa kwenye hoteli au kwa shughuli...
  16. JamiiForums Tanzania Jafo awazuia Raia wa kigeni kufanya baadhi ya Biashara Nchini

    Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es Salaam, na hata masokoni ya mikoani. Wengi wamehoji namna wageni hawa wanavyoingia sokoni kwa nguvu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini dunia inashindwa kugawana raia wa Gaza kuwakoa na maafa yanoendelea huko?

    Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea...
  18. JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wapinga vikali watu wa dini kufunga barabara kuswali

  19. JamiiForums Tanzania CCM na Ukatili wa Kimfumo: Taifa Linalozama Katika Giza la Haki Kukanyagwa, Raia Kudhalilishwa na Demokrasia Kugeuzwa Kichekesho

    TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua. Kwani ninyi wa CCM, mko made of what? Si ni binadamu kama sisi? Au damu yenu ni dhahabu na yetu ni...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye raia wanaopenda shari mdawote

    Watanzania tunapenda kukaa pembeni na kushadadia mambo kiushabiki tu mfano Mbowe alitaka aendelee kuwa mwenyekiti watu wakatia fitina hadi akashindwa😁 paten kakosewa kidogo tu wabongo wakashadadia hadi watangazaji wakafukuzwa kazi😐wabongo wamefurahi sana.sijafurahishwa na watangazaji kumfosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…