habari wadau.
Rafiki yangu mmoja kanionesha kitabu walichoandikiwa na baba yao kwa ajili ya kuwapa miongozo katika mambo mbali mbali ya kimaisha. kitabu kina sura 10 ambazo zimegawanyika, mfano sura ya muongozo kuhusu elimu dunia na jinsi ya kuipata, sura kuhusu ukweli wa dini, sura kuhusu...
Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!.
Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!..
Jamaa kapagawa hajui...
Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.
Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.
Sasa akija kufanya malipo mara nyingi...
Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha.
Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?"
Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama...
Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia.
Tunafanya kazi yenye kipato cha kati, mimi nimeridhika na hali yangu kiuchumi kwa kweli. Na ninajitosheleza...
Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years
Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari.
Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa
Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli.
Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima...
Wachina ni watu wenye kujua vitu vingi ila wanapitiliza mpaka waliowafundisha wanaona kama wao ni wajinga.
Dunia inatabia moja kama masikio.Binadamu walikuta dunia inaweza kukabiri mfumo ila tatizo la wanadamu wanataka kuitengeneza kama kichwa cha mlevi mwisho wa siku dunia itashindwa kuelewa...
Stori yangu inaanzia mbali, mwaka 2020 wakati ambao COVID-19 ilishika kasi, watu wanapunguzwa makazini, wengine wanapewa likizo bila malipo na wengine wanaendelea na kazi lakini mishahara inasua sua.
Maisha yangu yalikaba sana, nilikuwa nategemewa na pesa ninayopata haitoshi "NINATOKAJE?" ndiyo...
Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja
Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha
Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu...
Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu.
Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
BAADA YA ZAIDI YA MIAKA 50 NIMEKUTANA NA RAFIKI YANGU WA UDOGONI SALUM "GORDON WEST" KHALIL
Nimesimama nje ya Masjid Maamur tumetoka kwenye Akid ni baada ya swala ya Isha na kuna msongamano.
Nimesogea pembeni vurugu ya magari, Bajaj na Bodaboda ipungue.
Mtu mmoja katika kundi ananionyesha mtu...
Rafiki yangu moja ana uwezo wa ajabu wa kutafuna aloevera for fun, kama wewe ambavyo unaweza kutafuna mua, mandazi au kunywa soda
Ikumbukwe hakuna kitu kichungu zaidi ya aloevera mimi niliwaibkuipaka usoni kulikua na tatizo kidogo lakini nilivoipaka nikashangaa ladha yake naisikia kabisa.
Kuna...
Ramadhani (Sio jina halisi), nmelazimika kuficha utambulisho wake kwa sababu maalumu kabisa.
Ramadhani alikua rafiki yangu wa karibu sana, tulishirikiana mambo mengi sana. Ramadhani alikua mcheshi sana, na pia alikua mtu wa tizi sana, na zaidi mdadisi mno na ni "daring person" Yan mtu anaetaka...
Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama.
Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume.
Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho.
Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
Huyu Mwalimu alikuwa muungwana sana,,,,ndio maana siku zote naamini mtu mwema huwa anaishi kwenye fikra na mioyo ya watu daima.
Kwa kifupi tulifurahia sana maisha ya ujana tofauti na mimi yeye alikuwa siyo mtu wa kinywaji zake gahwa na fegi,
Alikuwa ni mwenyeji wangu kila nilipokuwa nafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.