pwani

For the province in Kenya known as "पानी" in Swahili, see Coast Province.Pwani Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the town of Kibaha. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,098,668, which was slightly lower than the pre-census projection of 1,110,917. From 2002 to 2012, the region's 2.2 percent average annual population growth rate was the seventeenth-highest in the country. It was also the 21st most densely populated region with 34 people per square kilometre. With a size of 32,407 square kilometres (12,512 sq mi), the region is slightly larger than the U.S. state of Maryland (32,133 square kilometres (12,407 sq mi)).
The region is bordered to the north by the Tanga Region, to the east by the Dar es Salaam Region and the Indian Ocean, to the south by the Lindi Region, and to the west by the Morogoro Region. The word "पानी" (pānī) in Kiswahili means "coast".

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ? Wateja/watumiaji wengi ? Ni rahisi kufikika ? Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ? Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
  2. Mkalukungone Mwamba

    Dar na Pwani kukosa umeme Jumamosi, Novemba 14, 2026 kupisha matengenezo

    TANESCO Mkoa wa Kinondoni inawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na katizo la huduma ya umeme siku ya Jumamosi, tarehe 14/11/2026, kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 10:00 alasiri, ili kupisha matengenezo kinga katika Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi ambacho yalihairishwa hapo awali...
  3. B

    Ujenzi Jangwani unaleta umasikini mikoa ya Pwani

    Watu Sasa wanashindwa kujua wafanye Nini, si mvua kama ilivyotabiriwa Bali ni jua Kali sana naw joto la tanuru. Na tunakoelekea kutakuwa na milipuko mikubwa sana ya magonjwa, hii itasumbua sana uchumi wa wakazi wa maeneo haya maana watu wazima na watoto watakuja sana kutokana na hari hii...
  4. Zack Abdul

    Ziara ya Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi, katika Mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi na Pwani.

  5. Mad Max

    Dar es Salaam na Pwani Kuna Joto Kali Sana. Tujitahidi kunywa Maji

    Ili joto ni Kali sana. Maji bafuni ya moto ova una heater. Imagine dehydration mwilini, aisee tunywe maji angalau 2L.
  6. Traxtion

    Pwani: Mganga Rashid ahukumiwa kifungo cha miaka 60 kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Kipolisi Rufiji, imemhukumu Rashid Mussa Mkapunda (38), mganga wa kienyeji na mkazi wa Kitongoji cha Churwi, Kijiji cha Mlaleni, Kata ya Tambani, kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kumlawiti mwanafunzi wa kike mwenye umri...
  7. Raba kali

    Maisha ya watu wa Pwani sio kabisa, Ugomvi wa mali! Mipaka ya mashamba usishirikina, Watu wanakufaga vifo vya utata

    Wakuu nihonzave!. Nimechunguza maisha ya watu wa kusini na pwani ya Tanzania. Sio watu wa kutania kabisa, mpaka tu mita tatu au nne kuzidi upande mmoja kila mtu anasema kwake watu wanauanaga kabisa achilia mbali kurogana. Kuna mama jirani yangu, aliwah kufa kifo cha kutatanisha sababu ya...
  8. Roving Journalist

    Responded DAWASA: Januari - Novemba 2026, Mita 3,497 zimeibiwa maeneo ya Dar es Salaam na Pwani

    Wizi wa mita za maji zikiibiwa zinaenda kutumika wapi Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kushughulikia changamoto kwa wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika. Mamlaka imebaisha kuwa kuanzia Januari hadi...
  9. Pfizer

    Matengenezo ya bomba kuu kupunguza maji kwa siku nne Dar es Salaam na Pwani

    ‎Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
  10. A

    DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Kazole wanaelezwa kutaka TZS 1,000 ili kusaini clearance form za Wanafunzi

    Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga) Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga. Kwa mujibu wa malalamiko haya...
  11. Financial Analyst

    Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
  12. Yoda

    Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

    Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
  13. Tlaatlaah

    Huenda athari na madhara ya El nino yakawa makubwa na mabaya zaidi maeneo ya Pwani hususani katika jijini la Dar es Salaam

    Na hii ni kutokana na mizaha, dhihaka na dharau za kiwango cha juu sana dhidi ya tahadhari zinazotolewa na mamlaka husika pengine zaidi hata ya wale waliokua wakimdhihaki Nuhu wakati akijenga safina kujiepusha na gharika. Tayari baadhi ya mikoa kama vile Kigoma, Manyara na kanda ya ziwa...
  14. K

    Hakika Mnec Mchengerwa kusema UVCCM Pwani inanuka rushwa na aifai yupo sahihi

    Kauli ya Mhe. Waziri Mchengerwa kuwa UVCCM Pwani inanuka rushwa na majibu ya Mwenyekiti wa UVCCM Pwani, Ndugu Samaha Seif, tarehe 18/10/2026 yamezua maswali. Kama wanachama tunahitaji uwazi. Tunaiomba Uongozi wa UVCCM Taifa na TAKUKURU kulichunguza suala hili ili ukweli ubainike. Vijana...
  15. A

    KERO Wawekezaji waliofungua kiwanda kwenye makazi ya watu Mtaa wa Miswe - Pwani wanatutesa kwa kelele za kiwanda

    Kwa niaba ya wananchi wenzangu Wakazi wa Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani, naomba kutoa kero inayotusumbua tangu mwaka 2025. Kuna wawekezaji kutoka Nigeria waliofungua kiwanda cha unga katikati ya makazi yetu. Kero yetu kubwa ni kelele kutoka kwenye mitambo ya kiwanda hicho. Kuna...
  16. K

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani kakosea kutaka waziri aombe radhi, kilichosemwa na waziri kilihusu watu sio jumuiya.

    Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu. Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
  17. E

    Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  18. Zack Abdul

    Masauni LIVE TBC: COP12 na Mazingira ya Pwani

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamadi Masauni atakua LIVE kwenye kipindi cha JAMBO TANZANIA cha TBC kwa ajili ya kuzungumzia wenyeji wa Tanzania katika Mkutano wa 12 wa mkataba wa Nairobi (COP12) kuhusu usimamizi wa mazingira ya Pwani na Bahari ya Hindi
Back
Top Bottom