pro

  1. youngkato

    UNATAKA KUJIFUNZA VIDEO EDITING KAMA PRO LAKINI HUNA PESA YA KULIPIA KOZI? NINA HABARI NZURI KWAKO! 🔥

    Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu! Unajua kitu kizuri zaidi? UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE! Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
  2. Pakome

    From my bottom of my heart, sipendi muonekano wa nyuma wa sehemu ya Camera wa iPhone 17 & 18 Pro Max

    Mimi sio designer wa body za device za Apple lakini nina uwezo wa ku design vizuri muonekano wa nyuma wa sehemu ya camera kuliko kampuni ya Apple Brand New za iPhone ninazopenda muonekano wake mwisho ilikuwa iPhone 16Pro Max Kwa jinsi ninavyochukua muonekano wa nyuma wa iPhone 17 & 18 Pro Max...
  3. youngkato

    Sababu 5 za content creator kutumia CAPCUT PRO

    Katika ulimwengu wa digital, kuwa na content nzuri pekee haitoshi. Namna unavyoiwasilisha ndiyo inayoweza kumfanya mtu asimame kuitazama au aendelee kuscroll. Leo, video zimekuwa nyenzo muhimu katika kujenga personal brand, kutangaza biashara na kufikisha ujumbe kwa hadhira. Hata hivyo, ubora...
  4. Mad Max

    Apple wamezindua MacBook Pro mpya zenye OLED Display na Touchscreen. Bei yake hadi Mil 12!

    Apple Leo wamezindua models mpya ya MacBook Pro, kwa mara ya kwanza zikija na vioo vya OLED na kussuport touch screen. Mbali na kua touchscreen, kioo pia kina Dynamic Island , kama tunayoiona kwenye iPhone 14 Pro kuja juu, ila Bado hai support Face ID, utaendelea kutumia Touch ID. Kwa...
  5. youngkato

    Jinsi ya kubadilisha picha kuwa video kwa kutumia Gemini AI pro

    Sasa unaweza kutengeneza video mbalimbali za Ai kwa ajili ya matangazo na kurahisisha kazi zako kwa sj. 15,000 tu Whatsapp 0693880325 #GeminiAIPro #ArtificialIntelligence #AIVideoCreation #DigitalMarketing #ContentCreation #AITanzania
  6. youngkato

    Kwa Nini Video Zako za AI Hazionekani za Kitaalamu? Makosa 5 Unayopaswa Kuepuka Unapotumia Gemini AI Pro

    Unaweza kuwa na zana bora ya AI, lakini bado ukatengeneza video zisizovutia. Tatizo si lazima liwe teknolojia unayotumia, bali namna unavyoielekeza. Gemini AI Pro inaweza kukusaidia katika ubunifu wa maudhui ya video, lakini kupata matokeo bora kunahitaji maelekezo sahihi. Haya ni makosa matano...
  7. M

    Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  8. M

    NILITAKA KUPOTEZA PESA KUTOP-UP FROM PIXEL 8A TO PIXEL 9 PRO LAKINI AI IMENIFAA SANA, THANKS AI

    Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa? Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a inawasha sana picha ila sikuwa naridhika na quality za hizo picha, nilitaka wateja wangu wapate kitu...
  9. P

    Laptop inauzwa: MacBook pro 2019

    Brand: MacBook. Model: MacBook pro 2019. CPU: Intel core i9 -9th generation. Memory: RAM 16GB. Storage: 1T SSD. VGA: 4GB GPU AMD 5500M. Screen: 16 inch 4K retina display Kwa Tsh 1,200,000/= unajipatia na; Laptop bag, laptop stand, wireless mouse, original charger, port extension hub...
  10. Kaka yake shetani

    Tanzania kwenye makazi na ardhi ni scam trade pro max

    Ukifika kanda ya ziwa au sehemu zenye madini ambayo unaweza kupata mpaka USD za mamilioni ni bei rahisi. Ila sehemu za makazi kama nyumba,real state,mijini na sehemu za kimkakati unaweza shangaa kuuziwa Bilioni wakati wameacha kinyesi au kaburi.
  11. C-C Digital Pro

    Gazeti la "BONGO FLAVA" "CELEBRITY" na " ASUBUHI NEWS" ni Mali ya Mkurugenzi wa C-C Digital Pro, Bw. Civilian-Coin

    Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni binafsi ya C-C Digital Pro ndio huratibu Kila kitu online Chini ya Mkurugenzi na Chief Editor wake...
  12. Jannatul Firdaus

    Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max

    Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, huku bei zikianzia $1,199, sawa na takribani TSh milioni 3.18, wakati toleo la Pro Max likianzia $1,299, sawa na takribani TSh milioni 3.44 kwa viwango vya sasa vya ubadilishaji. Simu hizo zimekuja na chip mpya ya A20 Pro, iliyotengenezwa kwa...
  13. Mad Max

    9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Mambo tisa yatakushangaza zaidi

    Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Apple imesema iPhone 18 Pro na Pro Max mpya zina mfumo bora zaidi wa kamera, maisha marefu zaidi ya betri na utendaji wenye nguvu zaidi kuwahi kutolewa kwenye iPhone. Apple inasemekana imeandaa maboresho makubwa kwenye iPhone 18 Pro, huku baadhi ya mabadiliko...
  15. britanicca

    In Tz activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022

    In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022. Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and...
  16. britanicca

    Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

    Behold Emmanuel Nchimbi, the Vice President who was stripped of his party membership and ousted from his exalted office on account of 1. Advocating for the populus, citizens subjected to extrajudicial abductions by the constabulary in Tanzania 2. Championing a de jure metamorphosis of the...
  17. Mad Max

    Wataalamu wa MacBook, niende na ipi kati ya MacBook Neo (Brand New), Air M2 (8GB/256GB) au Pro (2019, 16GB/512GB)!

    Matumizi makuu ni video editing, zote Bei kwenye 1.8 Mil hadi 2.3 Mil.
  18. DEALFORREAL

    Panasonic Lumix S5II 24.2MP Mirrorless Digital Camera Bla+Panasonic Lumix S Pro 50mm f/1.4

    Nauza digital camera aina ya Panasonic Lumix S5II 24.2MP Mirrorless Digital Camera Black pamoja na Panasonic lumix s pro 50mm f/1.4 lens. Kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya kabisa bei ni 6.5 million TZS The Panasonic Lumix S5II (24.2MP Mirrorless Camera) paired...
  19. instinct desire

    Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

    Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari...
  20. Roving Journalist

    Pro. Shemdoe: Michezo kwa Watumishi wa Halmashauri itumike kuimarisha Afya, Mshikamano, tija kiutendaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Prof...
Back
Top Bottom