polisi

  1. JamiiForums Tanzania Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kubadilisha Polisi isikilize wananchi kwanza!

    Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya 1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga 2. Rushwa 3. Unyanyasaji 4.kupendeleana kwenye vyeo 5. Mafunzo
  3. JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha kumkata Catherine Ruge wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi baada ya kufika Mjini Musoma, Mkoa wa Mara kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari. Lengo la...
  4. JamiiForums Tanzania Mambosasa awaasa Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kuleta tija jeshini

    Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi. Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  6. JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Habari! Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi. Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Polisi kuhusu Panya Road hayaeleweki. Kwanini wanaua na siyo kukamata? Je, ni yale yale ya akina Zombe yanajirudia?

    Ni mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa hospitali" Wakati huo huo hakuna ushahidi wa polisi kushambuliana na hao wanaowaita wahalifu, wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Semina ya SOS Children’s Villages na REPSSI yawa kivutio kwa Polisi Dar

    Semina ya kuwajengea uwezo wa Afya ya Akili kwa Askari Polisi inayoendelea Jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Taasisi ya SOS Children’s Villages kwa kushirikiana na REPSSI imekuwa kivutio kwa Askari Polisi Washiriki kutokana na mada mbalimbali ikiwemo namna ya kumsikiliza mtoto mwenye msongo...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani: Raia wamsaidia Polisi Mwanamke aliyekuwa akipambana kumuweka chini ya ulinzi mwanaume mmoja

    Police dashcam footage shows witnesses rushing to assist a female officer, who was involved in a physical confrontation with a 64-year-old man during a traffic stop. Chanzo: CNN ======== Angekuwa mtu mweusi, angekula shaba faster
  10. JamiiForums Tanzania Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Mchora katuni Oppter afutiwa kesi, akamatwa tena na polisi

    TAARIFA YA AWALI. Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Waomba wauzike mwili wa rafiki yao anayedaiwa kujinyonga kituo cha polisi

    Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea? ======= Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike. Kifo cha...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi watakiwa kuwapa msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili

    Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanyakazi Dawati la Usalama Wetu kwanza kuwapa elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili. Akifungua mafunzo ya siku saba ya...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wa 'Puerto Rico' wamenituma nifikishe huu 'Ujumbe' kwa 'London Mourner' naamini utamfikia....

    "Mwambieni tumechoka sasa na tabia yake ya kila mara tu Kutusema vibaya tena katika Public kuwa tunabambikia Watu Kesi, tunawaonea na Kuua hovyo wakati si kweli" "Anatulaumu kuwa tupambane na Wahalifu wa hapa Jiji Kuu la San Juan nchini Puerto Rico wakati hata Yeye pia hatujali Kimaslahi kama...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
  17. JamiiForums Tanzania JWTZ na Polisi wategua Bomu ndani ya chumba cha NMB Bank Shinyanga

    Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Polisi Mkoa, Janeth Magomi, Kilipuzi hicho kilipatikana kwenye chumba maalum kinachotumiwa na wateja wa Fedha Nyingi (Bulk) na mtuhumiwa mkuu amekamatwa Kamanda Magomi amesema mkoba uliokutwa na kilipuzi hicho ulisafirishwa hadi Kambarage Police Barracks...
  18. JamiiForums Tanzania Raia waendelea kufia mikononi mwa polisi, tukimbilie wapi IGP Wambura?

    Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma SATURDAY SEPTEMBER 17 2022 Summary Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
  19. JamiiForums Tanzania Tabora: Walioua Polisi wahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu washtakiwa wanne kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua askari wawili wa Jeshi la Polisi Kituo cha Usoke, wilayani Urambo mkoani Tabora. Hukumu hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 16, 2022 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Tabora...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM yake, 'Acheni Jeshi la Polisi lifanye kazi zake'

    Mnyonge mtamnyonga lakini haki yake hupewa. Rais Magufuli kama angeaamua kucheka na nyani, kama angeaamua kutolipa Uhuru Jeshi la Polisi kwenye kudeal na waalifu, basi Tanzania ingeogopwa Duniani. Nani asiyekumbuka Yale ya Kibiti? Nani asiyekumbuka Ujambazi ulokithiri wakati wa Uongozi wa JK...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…