polisi

  1. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ni mingi sana lazima kesi zitaishia Polisi

    Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI. Mawazo yangu juu hali hiyo, Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Arusha lawakamata Maafisa Feki wa TRA

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli wananchi katika maeneo tofauti tofauti Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoani...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

    Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema. Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane kitaifa. Rasha alitakiwa ahudumie japo Wilaya nzima sio kata tu. Wanaotenda mema bila kujali mapito...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya polisi wanaodaiwa kumuua muuza madini: Shahidi adai washtakiwa walitumia gari la OCD

    Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa kwenye machela limetajwa kuwa lilikuwa ni la Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) ya Mtwara. Hayo yamebainishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu 40 washikiliwa na Jeshi la Polisi katika msako wa Mauaji ya Askari wa kampuni ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawajulisha wananchi kuhusiana na tukio Moja la mauaji lililotokea Novemba 2023 kama ifuatavyo: Tukio lilitokea Novemba 19, 2023 majira ya saa saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Mkali kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa Ruvuma ambapo mwanaume aliyefahafika kwa jina...
  6. JamiiForums Tanzania Sagini aagiza Polisi Mara kutoa gari kwa ajili ya kubeba Mahabusu Gereza la Bunda

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kutoa gari la kusafirisha mahabusu waliopo katika Gereza la Wilaya Bunda na kuwapeleka kwenda Mahakama ya Wilaya Butiama ikiwa ni pamoja na kuwarudisha ili wapate haki yao. Sagini alitoa maagizo...
  7. JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Musoma kimegharimu milioni 366 na siyo milioni 802

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo tarehe 19 Novemba, 2023 amepokea taarifa na kukagua ujenzi wa Kituo Cha Polisi Wilaya ya Butiama kinachoendelea kujengwa katika Wilaya ya Butiama. Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukagua na kupokea maelezo ya mradi huo, Mhe...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara atembelea Mradi wa Kituo cha Polisi Butiama unaojengwa kwa Tsh. Milioni 802

    Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802. Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na mjadala haukusikia wala kutaka kufahamu kutoka upande wa serikali. Kwa kuwa serikali yetu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Salim Atoa Onyo kwa Polisi Ulanga/Mahenge

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham ameliomba jeshi la Polisi wilayani humo kuacha kuwaonea wananchi jamii ya wakulima pindi wanapopeleka kesi za wafugaji kulisha mifugo katika mashamba yao badala yake wawasaidie kupata haki zao ili kupunguza mvutano kati ya jamii...
  10. JamiiForums Tanzania Majambazi waliovamia Kampuni kuiba Petrol na Dizeli wajeruhiwa kwa risasi

  11. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Bilioni 1.4 yajenga Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Sagini atoa neno

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya Musoma wenye thamani ya shilingi Bilioni 1.4. Akizungumza baada ya kukagua wa Mradi huo, Sagini...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Polisi zingatieni haki katika utendaji wenu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, leo Novemba 16...
  13. JamiiForums Tanzania Mtwara: Jinsi Askari Polisi, akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi, walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis Hamis, alivyouawa. Pia, amewataja washtakiwa waliokuwepo eneo la tukio na yule...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya laidhinisha Polisi kutumwa nchini Haiti

    Bunge la Kenya limeidhinisha kutuma kikosi cha maafisa wa polisi kusaidia kuzima ghasia za magenge nchini Haiti, licha ya amri ya mahakama inayozuia kutumwa kwa maafisa hao kusubiri kusikizwa kwa kesi. Uamuzi wa wabunge hao ulikuja siku ya Alhamisi, mara tu mahakama ilipokuwa ikisikiliza ombi...
  15. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Polisi Kata wanolewa juu ya uandaaji na utumaji wa Taarifa za Wahalifu na uhalifu kwa njia ya Mtandao

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii, Novemba 15, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saccos uliopo Kata ya Majengo, Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma limeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi Kata namna ya uandaaji na utumaji wa taarifa za wahalifu na uhalifu Kwa kutumia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa Polisi: Madeleka agundulika mtoro jeshini baada ya miaka saba

  17. JamiiForums Tanzania Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lawanasa watu wawili wakiwa na noti Bandia za Sh 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia. Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameripoti kwenye kituo Kikuu cha Polisi Arusha Mjini , kwa ajili ya kuendelea kutoa maelezo kutokana na kile kinachoitwa kufanya mikutano bila Kibali huko Ngorongoro Mwezi septemba . Ameambatana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Chake .
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…