polisi

  1. JamiiForums Tanzania Tato waunga mkono jeshi la polisi usalama kwa watalii

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea Kushirikiana na wadau wa Utalii ili kuweka mazingira bora ya usalama barabarani ambayo yatawashawishi watalii wa ndani na wale wanaotoka barani Afrika na Ulaya kuongezeka kwa wingi na kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini huku...
  2. JamiiForums Tanzania Manyara: Polisi watumia mabomu kutawanya wananchi waliozingira kituo cha Polisi wakimtaka mtuhumiwa aliyebaka na kumchinja mtoto wa miaka 6

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limelazimika kurusha mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Magugu waliokuwa wanataka kuchoma kituo cha Polisi kwa madai ya kumtoa mhalifu aliyedaiwa kubaka mtoto wa miaka sita kisha kumchinja Baada ya mtuhumiwa kuokolewa na Polisi na kupelekwa kituo cha...
  3. JamiiForums Tanzania ATC yahitimisha mafunzo kwa Wakaguzi wa Magari, waonyesha umahiri katika Teknolojia ya ukaguzi magari

    Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kimehitimisha mafunzo ya ukaguzi wa magari kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini ambacho kilihusisha wakuu wa kikosi cha usalama barabarani na wakaguzi wa magari (vehicle inspectors) kote nchini ambacho kilianza februari 19 hadi 20 mwaka huu katika chuo...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwalewesha watu 16 wa familia moja na baadae kuwaibia simu. Tukio hilo limetokea tarehe...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† ASFC ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPolisi TZ πŸ“† 20.02.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika 45+1 Chuma cha piliii Farid Mussaβš½οΈπŸ™ŒπŸΌ Dakika ya 45 niongeza 2 Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini

    Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School Registration System ambao Utazitambua shule ambazo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni tupunguzie Traffic Polisi barabarani

    Miaka ya 2010 World Bank walitoa ripoti ya kufanya biashara nchini Tanzania na kwa viwango vya wakati ule tulishika nafasi kama ya 121 kama sijakosea. Raisi wa wakati ule Mh. Jakaya hakuridhishwa na hiyo ranking na kuchukua hatua at least tufikie 2 digits yaani tuwe chini ya 100. Majirani zetu...
  8. JamiiForums Tanzania Askari Polisi wamgonga bodaboda na kuvunjia miguu yote, wamfikisha hospitali na kumtelekeza

    Polisi wa kituo cha Maturubai wamegonga Dereva pikipiki maeneo ya Mtongani, Dar karibu na kituo cha msikitini wakiwa na ist T 149 DTZ. Dereva wa bodaboda alivunjika miguu yote miwili katika ajali hiyo. Baadae walimpeleka hospitali ya Temeke na kumtelekeza bila matibabu tangu saa saba mchana...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka aliyesalimisha silaha kanisani baada ya kuokoka

    Polisi mjini Meru wanamtafuta mtu aliyesalimisha bunduki kanisani baada ya kutubu dhambi na kueleza kwamba ameokoka. Kwa mujibu wa tovuti ya Taifa Leo imeandika kuwa jana Jumanne Februari 14, 2024 Polisi walipigwa na butwaa baada ya mchungaji Nathan Kirimi kufika katika Kituo cha Polisi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Sista, "Kazi ni Kazi" tu sio shida. Mama ataka Polisi waje, kisa mwanae Jobless kununua Benz lake $50,000

    Kwa wengine hii ingekuwa furaha, shangwe, nderemo na vifijo. Kwa mama huyu wa KiNaigeria yeye anaona 'mapichapicha' tu. . Huku akibubujikwa na machozi mithili ya mtu aliefikwa na msiba na akihanikiza na kushinikiza Polisi wahusike kuchunguza imekuwaje mwanae ambae ndio kwanza kamaliza masomo ya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi washikiliwa kwa kuuza pombe haramu na kuua watu 17

    Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi. Tukio hilo limetokea baada ya maafisa hao kudaiwa kuvunja ghala la polisi na kuiba kileo hicho kilichokuwa kimewekwa kama...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Wadau wa utalii waungana na Jeshi la Polisi kupinga ukatili

    Chama cha Wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini. Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John...
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi kukatiza mitaani na silaha ili hali wakiwa wamevaa kiraia: Je, kanuni za Jeshi la Polisi zina muongozo upi?

    Peace upon you all. Awali ya yote niwapongeze askari wetu kwa majukumu yao ya kulinda amani tunayoogelea kwayo. Wengine hapa watawasema kwa madhaifu yao kadha wa kadha lakini tafadhali hebu leo tusiwaseme kwanza kila mtu ana madhaifu fulani. ok, back to the topic wakati fulani nikiwa mkoa wa...
  15. JamiiForums Tanzania ChatGPT:swala utekaji tanzania kwa nini vyombo ya polisi kutoa majibu ya kawaida na matukio ya utekaji

    Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano. Kiongozi wa serikali...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Moshi wamekataa kupeleka kesi hii mahakamani na wanasisitiza dhamana iwe hapo kituoni

    Mimi ni mfanyakazi katika taasisi ya Kikristo iliyoko Moshi. Taasisi hii Ina shule ya Msingi na ya Secondari. Taasisi hii pamoja na kuwa na watoto wanaotoka kwenye familia za kawaida shuleni, pia huwasaidia watoto walioko kwenye mazingira magumu pia yatima na waliotelekezwa. Mwanafunzi mmoja...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi wapanda miti 1,000 Monduli Juu, waziomba jamii za kifugaji kutunza mazingira

    Jeshi la Polisi Katika kuhakikisha linaendelea na ulinzi wa raia na mali zao hapa nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo nchini (STPU) kimeshiriki katika kampeni ya upandaji miti zaidi ya elfu moja katika kata ya monduli Juu Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ziara za Paulo Makonda Aibu kwa Jeshi la Polisi na Wasimamizi wa Haki na Sheria

    Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake. Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria. Mamia kama si maelfu ya wananchi wanakandamizwa na kuonewa toka ngazi ya mtaa, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa. Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…