polisi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ya Zitto Kabwe kugombea ubunge, je kaambiwa ataachiwa jimbo? Kwanini serikali na polisi wanamuonea Mdude Nyagali? Amekosa nini?

    Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje mwanangu ndoto yake ni kuwa polisi

    Habari ya jion Leo mchana nimejarbu kumuuliza Binti yangu ndoto yake ni ipi katika maisha yake huwezi amini anasema atamni kuja kuwa POLISI Je kama mzazi naweza kubadili au kisitisha ndoto ya mwanangu binafsi natamani mwanangu awe hata nesi au mfamasia sasa hii ndoto ya kuwa POLISI...
  3. JamiiForums Tanzania Ungekua wewe polisi au mwanajeshi ungefanyaje?

    jamaa siku ya kwanza kuripoti kazini kwenye kituo kipya anapewa kazi ya kupeleka wafungwa sita Gereza jipya , ni askari mzuri lakini wafungwa hao ni wakatili balaa kizazasasa kinatokea baada ya safari kuanza na kupata ajali njiani ??? je ungekua wewe askari ungefanyaje? movie ndo hiyo kazi...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo na ITV wamechapisha kuwa Lema, Maria wapanga maandamano na kuwatumia GenZ kuchoma moto vituo vya polisi

  5. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

    Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

    Hellow! Hili limesababishwa na Nini? Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka, Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii? Karibuni 🙏
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu, washinikiza Jeshi la Polisi kumkamata Mfanyabiashara madini

    Familia ya Marehemu Ediga Mwaniwe wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi kwa siku sita imekataa kwenda kuchukua mwili wa ndugu yao kwa ajili maziko uliohifadhiwa katika hospital ya Manispaa hiyo kwa lengo la kushinikiza Jeshi la Polisi Mkoani humo kutenda haki ya kumkamata mfanyabiashara wa madini...
  8. JamiiForums Tanzania Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

    Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli. Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa: Serikali kuwasaka waliosambaza Waraka feki wa TEC, Waliomshambulia Fr Kitima na aliyesema "siku za Kitima zinahesabika"

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumhoji mtu aliyeandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa "siku za Kitima...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kwa nini mnamtindo wa ajabu mkishitukiwa mnasema mumeingiliwa majukumu ila mkifanikiwa mnakana .

    Nalipongeza jeshi la polisi kuwa na CCM sana sababu mnakadi za ccm ndio mpate vyeo. Watu wengi wamekuwa wakitoa ushaidi kuhusu nyie na tabia zenu sehemu nyingi kwenye matukio. Swali langu tu:kwa nini kwenye maswala ya kisiasa mnakataa ila mkivamiwa mnakuja juu kusema mnaingiliwa majukumu yenu...
  11. JamiiForums Tanzania Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  12. JamiiForums Tanzania Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

  14. JamiiForums Tanzania Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

    https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo la kimfumo, Polisi na wanaCCM hawana shida

    Hellow! Hasira inaruhusiwa, ila hasira lazima iwe na limit, usikasirike Hadi kuwa wendawazimu. Tatizo lililopo nchini petu ni la kimfumo, Kwamba katiba tuliyoitengeneza kwa Nia njema kumpa kiongozi Mkuu mamlaka makubwa Ili kutenda haki na Majukumu yake bila kusumbuliwa, mwanya huo ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS anazungumza na Waandishi wa Habari, akosoa Polisi, amtaja Muliro

    https://www.youtube.com/live/jAy-Wo-SPR8
  18. JamiiForums Tanzania Polisi kuweni makini mnaishi na watu mnaowatesa

    Wasalaam Matukio mengi yenye utata na yasiyo na utata yanazidi kujenga ukuta wa chuki kati ya raia na jeshi la polisi Leo kwenye daladala watu wengi walikuwa katika mjadala wa kulaani jeshi hili kiasi mtu yeyote hakukumbuka kazi njema au lengo la jeshi hili Mmoja alisema"kwani wanabeba...
  19. JamiiForums Tanzania Katibu wa kamati ya sheria, katiba na legal aid ya TLS adaiwa kukamatwa na polisi

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi amechapisha ujumbe kuwa amepokea taarifa ya kukamatwa kwa Katibu wa kamati ya sheria, katiba na legal aid ya TLS na kwamba wanaifanyia kazi na baadaye kutoa taarifa rasmi. "Nimepokea...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia fukuza kazi mkuu wa polisi...

    Yeye Muliro na genge lake anadhania anakufanyia favour kuteka na kutesa wapinzani kumbe anakuweka distant na wananchi... Ni mjinga ambae anapaswa kutolewa kabla hajafanya more damage.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…