polisi

  1. JamiiForums Tanzania Festish yangu ni wadada walio ma askari/polisi, wewe fetish yako ni ipi?

    Nazimika kinooomaaaa.. MAONI:
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wamewatia mbaroni wanaume wawili raia wa Uturuki waliokuwa na silaha, katika tamasha maarufu la Kitaliano karibu na jiji la Rome

    Huko Viterbo, Italia, polisi waliwakamata wahamiaji wawili wa Kituruki waliokuwa na bunduki, bastola, na risasi nyingi waliokuwa tayari kufyatulia umati wa Wakatoliki 40,000 waliokusanyika kwa ajili ya Sikukuu ya Santa Rosa. Magaidi hao wawili walikuwa wamejipanga katika nyumba ya kukodi...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

    Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana. Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi Pwani Watoa Mafunzo ya Maadili kwa Waandishi wa Habari

    Jeshi la polisi mkoani Pwani limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani humo yaliyolenga kuwaongezea ujuzi wa masuala mbalimbali ikiwemo maadili. Mafunzo hayo yaliyoongozwa na Kamanda wa Polisi mkoani humo, ASP Salimu Morcase yaliangazia pia usalama kuelekea, wakati na baada ya Uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio la Mtoto kufungwa na mnyororo darasani, Polisi yawashikilia Mwalimu Mkuu na Mlinzi

    Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua. MWALIMU MKUU, MLINZI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UKATILI Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna ukweli wa Kontena la Silaha kuingia nchini

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo Misime ameonya pia juu ya baadhi...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anawaibia Polisi?

    Ni jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha. Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo Shida ni nini? 1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au 2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, nisikilize hapa kidogo, walinzi wetu na mali zetu

    Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie. Mnaambulia laana na makombo, wakati watoto wa wana mtandao wanaendesha Bughatti, Citroen, Feralli, ..... and the like. Bado kidogo...
  11. JamiiForums Tanzania Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  12. JamiiForums Tanzania Polisi Mara watoa wito kwa mwenye taarifa za kweli za kupotea Sinda Samson Mseti kuziwasilisha ili zifanyiwe kazi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya limeona picha mjongoo yenye dakika 4:38 ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kusambazwa na mtu mwenye akaunti ya Instagram yenye jina la martinmaranjamassese, ikionyesha kundi la watu wakiingia kwenye nyumba moja majira ya usiku. Maelezo...
  13. JamiiForums Tanzania Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi latoa tamko kuelekea kampeni ya vyama vya siasa Agosti 28, 2025 " usiwe chanzo cha vurugu"

    Wakuu habari, Tufuatilie live ya Jeshi la Polisi ikitoa tamko kuelekea kampeni za vyama vya siasa inayotarajiwa kuanza kesho Agosti 28, 2025 https://youtu.be/oMKspe2-o1Y?si=K58UWSQsgIJMBPg7 Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime: " Kesho Agosti 28, 2025 kama ilivyotangazwa na Tume huru ya...
  15. JamiiForums Tanzania wizi wa baiskel yangu nimeambiwa nikitoa taarifa polisi nitatimua nyuki

    kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa. Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa baiskeli, kukata RB polisi bei gani?

    Kuna jamaa anadai ameiokota sa 7 usiku wakati nimeibiwa nyumbani kwangu, anadai nimpe 25000 ili anirudishie leo siku ya 2.
  17. JamiiForums Tanzania Polisi wa Japan waomba msamaha kwenye kaburi la mtuhumiwa aliyefungwa na kushtakiwa kimakosa

    Maafisa wa Polisi nchini Japan waomba radhi kwa familia ya mfanyabiashara Shizuo Aishima, baada ya kumbebesha mashtaka ya uongo ya kusafirisha mashine zinazoweza kutumika hata kijeshi. Mfanyabiashara huyo alishtakiwa kwa kusafirisha China mashine aina ya spray dryer zinazobadilisha maji kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

    mambo vipi? Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila...
  19. JamiiForums Tanzania Wanajeshi/ polisi na Usalama wafundishwe Ujasiri wa kupinga dhulma na kutetea Haki ndani ya Nchi. Huo ndio ujasiri wa Kweli na sio vinginevyo.

    WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona kama Polisi inamsemea Dogo Janja?

    Hawa polisi mbona kama wanamtetea Dogo janja kwanini wamsemee yeye tu na si kumskiliza na aliyejeruhiwa? Wanasema alivamiwa, alivamiwa kivipi mtu yupo kwenye gari lake? mbona wanajaribu kufukia vitu. Wanadhani hatujui chanzo cha DOgo janja kumpiga risasi huyo dogo? Alafu siku hizi kumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…