Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025)
Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025.
Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi.
Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa imetolewa na Jeshi la Polisi kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam ya kuwa majumbani kuanzia saa 12 jioni...
Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania.
Eti kufahamiana sio vibaya wanasema.
Wao hawaoni kama wanasumbua...
Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jijini Dar Es Salaam kupinga Samia kuteka na kuua watu, Polisi bado hawajapoa. Ukienda kituo cha Basi au Daladala, wanakuambia utoa password waangalie kama hauna picha za maandamano. Kama unazo wanakulazimisha uzifute. Wanalazishi hata zile picha za Watu...
Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma.
Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud.
Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA?
Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu:
1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza.
Wanataka dunia isijue kilichotokea.
Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha.
Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
Polisi wa Mafinga wameamliwa kutii amri ya raia kutoa watu wote walioshikiliwa kwasababu ya Maandamano watolewe na wamewatoa wote.
MADAI YA WAANDAMANAJI.
1. Uchaguzi ufutwe,
2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi
3. Waliotekwa waachiliwe huru,
4. Kesi za mchongo zifutwe
Waandamaji ni lazima kufunga barabara magari ya polisi yasipite waje kwa miguu hii itasaidia kupunguza vifo maana asilimia kubwa wanaofyatua risasi ni wale wanaoshambulia kutumia magari
Barabara zifungwe hakuna kuruhusu gari kupita ili kufanikisha maandamano ambayo hayatatoa uhai zaidi wa watu...
Wenye wajibu wa kukemea na kupambana na vitendo vya kihalifu ni polisi na sio jeshi la wananchi.
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, katiba na uhuru wa nchi.
Vitendo vya kihalifu mitaani havihusiani na usalama wa mipaka ya nchi, katiba na uhuru. Wanaofanya uchaguzi haramu unaopelekea hadi...
Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi ..
Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane.
Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi...
Salaam,
Nimefarijika sana.. Maandamano ya leo yalijaa wana wa Jeshi. Sio Polisi wote wabaya.
Wanne wametoka Kigamboni, Askari Magereza Wawili wametoka Mbezi beach, Wanajeshi Watatu wametoka Goba. Tumekinukisha balaa.
Leo baada ya night shift, tutahakikisha tunaenda maandamano yalipo...
Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana.
Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...