polisi

  1. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wanne wa kampuni ya uwindaji ya Green Miles Wakamatwa na Polisi

    Wafanyakazi wanne wa kampuni ya uwindaji ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha Lake Natron(east) wilayani Longido wanashikiliwa na polisi kwa madai ya kukaidi agizo la Serikali kuondoka wa hiari katika kitalu hicho. Wafanyakazi hao wamekamatwa na polisi leo Jumatano Januari 22, 2020...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo. --+ MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi Dar wadai kuua majambazi

    JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limedai kuwa limeua watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, na kukamata silaha moja aina ya bastola Jeshi hilo limesema kwamba bastola hiyo imefutwa namba na ilikuwa na magazine iliyokuwa na risasi moja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nalipongeza jeshi la polisi mkoa mjini magharibi Unguja.

    Natoa pongezi kwa RPC wa mkoa mjini magharibi unguja kwa kufanya kazi kwa weledi na kumfukuza kazi askari ambaye alimkamata mtuhumiwa na kumpeleka kwa wananchi wenye hasira na kisha kumuua mtuhumiwa. Imekuwa ni tabia mbaya sana wananchi wamekuwa wanachukua sheria mkononi na kuua watuhumiwa bila...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka polisi waje mtaani kwako haraka kama kuna tukio

    MKITAKA POLISI WAWAHI KWENYE TUKIO MTAANI AU KIJIJINI KWENU; WAAMBIENI CHADEMA HAWA HAPA WANATAKA KUFANYA MKUTANO TUKIO likitokea huku Mtaani kwetu Siku hizi, huwa hatupati shida kupata msaada wa haraka kutoka Polisi, ni fasta tu wanatia timu eneo husika. Wakishuka tu kwenye Gari wanaanza...
  6. JamiiForums Tanzania Afisa wa Polisi aliyempa mtu asiye na makazi sandwich yenye kinyesi amerudishwa kazini

    Polisi ofisa katika jimbo la Texas aliyempa mtu asiye na makazi sanduwichi yenye kinyesi cha mbwa. Mahakama imeharisha arudishwe kazini kutokana na mapungufu ya sheria! ===== Police officer gets away with ‘giving homeless man poop sandwich’ A police officer who was fired after he allegedly...
  7. JamiiForums Tanzania Pemba: Viongozi wa ACT, Maalim Seif na Salim Bimani waitwa Polisi. Washutumiwa kufanya mkutano bila kibali, waachiwa kwa dhamana

    Mshauri mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa Kamati ya Itikadi na Uenezi wa ACT Wazalendo Salim Bimani wameripoti katika Kituo cha Polisi Wete Pemba asubuhi ya leo. Viongozi hao wa ACT Wazalendo wameitwa na Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (RCO) Mkoa wa Kaskazini...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Je, jukumu la kumtunza/kumlisha mtu aliye Lumande ya Polisi ni nani?

    Je, jukumu la kumtunza/kumlisha mtu aliye rumande ya Polisi ni nani? Ni polisi, ndugu au walalamikaji? Ukiweka sheria na kifungu husika itapendeza zaidi. NB: Hapa namaanisha mtu aliye rumande miezi kadhaa na hajapelekwa mahakamani.
  9. JamiiForums Tanzania Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

    Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini. Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
  10. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakwamisha hawa waliotesa na kuua wasikamatwe?

    Hili jambo mimi linashangaza sana japokuwa mimi nina uelewa mdogo sana wa sheria. Mfano ibara ya 13(6) ya katiba ya Tanzania inazuia kutoa adhabu au mateso na manyanyaso kwa mtu yoyote yule. Ibara ya 14 ipo wazi kabisa kwamba kila mtu ana haki ya kuishi. Ibara ya 13 (b) inasema hamna mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Ofisa Polisi, Emmanuel Mkilia na wenzake 3 kortini kwa hasara milioni 798.7/-

    OFISA wa Jeshi la Polisi, Emmanuel Mkilia (44) na wafanyabiashara watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo ya kulisababishia jeshi hilo hasara ya zaidi ya Sh milioni 798.7. Washitakiwa wengine ni Donald Mhaiki (39) ambaye ni mtaalamu...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu achukizwa na wapelelezi wanaokamata mtuhumiwa kabla ya kukamilisha upelelezi

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini kinachofanyika ni tofauti na kusababishia wafungwa kujaa magereza. Kiongozi huyo aliyasema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha mawakili alisema tangazo lilitolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Sudan imewahukumu Maafisa Usalama kifo kwa kumtesa na kumuua mwalimu

    Ahmad al-Khair, 36, alikufa wakati ameshikiliwa na maafisa hao baada ya kukamatwa wakati wa maandamano ya kumtoa Rais Omar al-Bashir madarakani. hii ni moja ya kuhumu za mwanzo kabisa kutolewa mara baada ya machafuko ya kuleta utawala wa demokrasia nchini Sudan. Hakimu anasema kuwa hukumu hizo...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi FFU wavamie na kupiga Wanaume wakorofi.

    Mwanaune yoyote akipiga Mwanamke FFU wavamie hiyo nyumba na na kumtandika huyo Mwanaume kulingana na majeraha aliyompa Mwanamke, kama kamvunja mkono, avunjwe pia, ...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi: Mmiliki wa shule ZamZam amefariki kwa matatizo ya moyo, hakuna viashiria vya mauaji. Familia yatofautiana na Polisi

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa kufeli kwa moyo na kukosa msaada wa haraka wa matibabu, ndiyo chanzo cha kifo cha Sheikh Rashid Bura, ambaye ni mmiliki wa shule za Zamzam mkoani humo. Kamanda Muroto amebainisha hayo leo Disemba 27, 2019, na kusema kuwa mara baada...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya polisi nchini Scotland yaruhusu vazi la hijab kwa askari wake

    #HABARI Mamlaka ya Polisi nchini Scotland limeadhinisha vazi la hijab kuwa moja ya vazi rasmi kwa askari wake ili kuwavutia wanawake wengi wa Kiislam ambao hawaipi kipaumbele kikubwa kazi hiyo waweze kujiunga. Chanzo: East Africa TV (Facebook)
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hili tukio polisi Mwanza wanapeleleza nini?

    Tukio lilitokea tarehe 26/10/2019. Watuhumiwa walikamatwa na kupelekwa ofisi ya kata ya Kahama Ilemela Mwanza. Watuhumiwa waliteswa na kupigwa na mwanajeshi akishirikana na Migambo wa mtendaji wa kata. Mtendaji wa kata alikuwepo na mwenyekiti alikuwepo. Wananchi walijazana hapo kwenye ofisi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Tito Magoti wa LHRC achukuliwa na watu wasiojulikana; Polisi wasema wanamhoji na wenzake 3

    Tito ambaye ni Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) inadaiwa ametekwa maeneo ya Mwenge, Jijini Dar Yaelezwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia ambao walimfunga pingu kabla ya kuondoka naye Watu hao walikuwa kwenye gari aina ya Harrier. Taarifa za awali kuhusu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Dar - Ngara na adha za polisi njiani

    Hatimaye nimetinga makwetu Ngara Kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka. Safari yangu Toka Dar Kwa basi kama ilivyo Kwa miaka mingine hadi makwetu haikupungukiwa vimbembe, vibweka, udhalimu, manyanyaso, adha, na yote ya aina hiyo tokea kwa hawa mabwana: polisi ambao haijulikani kwa uhakika haki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…