polisi

  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman: Watu ndani ya vikosi vya SMZ walitusihi, Vijana kutoka JKT walipewa silaha walipokosa wa kuua Zanzibar wakapandishwa Ndege Usiku kuja Bara

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Tanzania, uliohudhuriwa na makada wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia, na waandishi wa habari...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Polisi Mtuache Tukiua Wanaomkosoa Samia-UVCCM

    Hebu jionee.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Wanaodaiwa kuwa ni Polisi wavamia usiku wa manane na kuwakamata wananchi, watatu hawajulikani walipo

    Wakazi wa eneo la Lupaso, Vikawe wilayani Kibaha mkoani Pwani wameingiwa na hofu baada ya watu wanaodaiwa kujitambulisha kuwa polisi kufanya operesheni ya usiku na kuwakamata baadhi ya wananchi, siku nane tangu kutokee vurugu zilizohusishwa na mgogoro wa ardhi katika eneo hilo. Tukio hilo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Haya ya Kichwa, polisi siwaamini, wamejijengea sifa ya kutoaminika

    Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini. Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi...
  5. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  6. JamiiForums Tanzania Msigwa: Vijana msinitukane mtakamatwa tu, Polisi wameshakusanya zaidi ya Watu 80

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na kuwaingiza kwenye uvunjifu wa sheria ya Mtandaoni wamekuwa wakiwafuata Vijana kutoka familia duni, suala...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa Vyombo vya Usalama katika mauaji ya Oktoba 29??

    Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo. Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS? Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo? Picha zote...
  8. JamiiForums Tanzania Katavi: Askari Polisi ashtakiwa kwa kuomba na kupokea Rushwa ili awaachie waliokutwa na gunia 10 za bangi

    Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye Namba za Kijeshi H. 3083 mkazi wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi. Hati ya Mashtaka imesomwa na...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Kaburi la CCM linachimbwa na Polisi

    Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali. Jeshi la polisi linatuhumiwa kuhusika na matukio mbalimbali ya kihalifu ikiwemo utekaji (SATIVA). Uhalifu unafanyika bila jeshi...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  11. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Nguvu Polisi: Kanuni za PLAN

    Matumizi ya nguvu na polisi yalifuata kanuni za PLAN: Uwiano, Uhalali, Uwajibikaji na Ulazima. Katika sehemu nyingi, hatua za awali kama ilani na mabomu ya machozi zilitumiwa kabla ya kutumia silaha kali pale ambapo maisha yalikuwa hatarini #SautiZaWaathirika #TumeYaUchunguziReport Tume Ya Ukweli
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka

    CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji. Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi la Polisi na Jeshi la wananchi iko siku wanawageuka na kufuata hisia za watu. Angalieni wenzenu...
  13. JamiiForums Tanzania GRAPHIC-VIDEO: Kituo cha Polisi kinachosimamiwa na Hamas chashambuliwa!!

    Shambulio lililolengwa na Israeli lilipiga kituo cha polisi cha Hamas huko Sheikh Radwan, kaskazini mwa Gaza. Angalau magaidi 2 waliuawa na wengine 3 walijeruhiwa vibaya kwa kufumuliwa makalio yao hakuna uwezekano wa wao kupona. Shambulio hilo lilifuatia baada ya magaidi hao kuvishambulia...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

    Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi! Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji?

    Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
  16. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi Wataja Sababu za Kupotea Watu

    Kwa mujibu wa Jeshi la polisi sababu za kupotea watu ni kwa sababu ya mapenzi, imani za kishirikina, waliotekwa na watu wakitaka pesa ama mali, wahalifu ambao wanalipiana kisasi na wengine kutoroka kwa sababu ya kudaiwa madeni na kukimbia kesi #UkweliOktoba29
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kwa mujibu wa Jeshi La Polisi watu 758 walipotea, watu 448 hawajapatikana

    Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  19. R

    JamiiForums Tanzania Polisi muiteni Faris Burhani wa UVCCM aliyesema mkutanoni kuwa wapinzani atawapoteza kwanza kabla ya kimuita Hilda Newton

    Faris Burhan alisema mchana kweupe kwenye mkutano kuwa atawapoteza wapinzani, hamjawahi kumuita na kumpeleka mahakamani! Leo mnamuandama Hilda Newton. WHY DOUBLE STANDARDS?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inafanya uchunguzi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha kuwa Serikali imepanga kumuua Lissu kwa Risasi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026. Taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…