picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Una picha gani katika simu yako ambayo inafikirisha

    Mimi nina hii👇 sio kwamba huyu mama ni mjinga zaidi yako, sio kwamba ni mdhaifu zaidi yako, sio kwamba hana juhudi kama wewe ni basi tu hajabahatika kama wewe. Shukuru kwa kila jambo.
  2. PICHA: Madenge kijana aliejitoa mhanga kubadili upepo wa Oktoba 29

  3. S

    PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  4. Jaji Chande Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 asema 'picha baadhi zilikuwa halisi nyingine zilitengenezwa kwa akili unde'

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja. Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
  5. KWELI Picha hii kuonyesha barabara ikiwa imeharibika imetengezwa kwa kutumia Akili unde

  6. PICHA: Hii siku rafiki zetu walipoteza maisha kama kuku PUMZIKENI KWA AMANI

  7. Voyager i ndo chombo kilicho mbali zaidi na dunia, kimebaba picha na ujumbe kutoka Duniani. NASA waliamini sikumoja labda kitapatikana na alliens

    Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi kutuma angani. Kilirushwa mwaka 1977 na NASA, kikiwa na lengo la kuchunguza sayari kubwa kama Jupiter...
  8. Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

    Moja kwa Moja.. Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu . Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na...
  9. SI KWELI Watu wa Arusha mtusaidie, je, picha imepigwa Arusha?

    Ni kwamba watu wa Arusha mmeshindikana au vipi? Hili tukio la huyu jamaa akivuta 'Space Capsule' ni la kweli?
  10. S

    KWELI Picha hii ilipigwa mwaka 2012 nchini Korea Kaskazini

  11. S

    POTOSHI Picha hii ya Uhuru akiwa na tattoo ya Freemason ni halisi?

  12. Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

    Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine. Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia...
  13. FALSE NASA astronauts growing rice on the Moon

    A viral post has been circulating on social media, especially on Facebook, claiming that astronauts have successfully grown rice on the Moon. However, an investigation using keyword searches determined that the image was generated using artificial intelligence (AI) and is therefore not genuine...
  14. R

    Picha za Rapa Offset akiwa Hospitali

    Jamaa anavuta ganja hospitali bila tabu kabisa Soma pia Rapa wa Marekani, Offset apigwa risasi Florida
  15. Picha: Vita imefika pabaya, Netanyahu anadhalilika mchana kweupee!

    Niaje waungwana Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣 Akienda mbele nchale ( Iran ) Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah ) Akikaa nchale ( Houthis ) Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita, niliwahi kuandika threads huko nyuma (2022) na (2024) kabla Iran na Israel hazijawahi kushambuliana moja...
  16. Picha ya Dunia yenye high resolution kutoka space imepigwa na Artemis II!

    Picha mpya ya Dunia imepigwa kutoka Artemis II.
  17. NASA wamerudi tena Mwezini, na tayari picha za awali zimeanza kuachiwa — Je, Wale wabishi wa ‘Moon Hoax’ Bado Wataendelea Kubisha?

    Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa. Hii siyo simulizi ya karne ya 20 tena, bali ni ushahidi wa karne ya 21 unaoonekana kwa macho. Lakini ni kama umekuja wakati...
  18. C

    Picha: Hiki ndo kitu kilichonifurahisha zaidi hapa JF siku nilipokiona kwa mara ya kwanza

  19. P

    Uchaguzi House Zanzibar kwanini mnakataza wananchi kupiga picha ya jengo? Nimejibiwa mmejiamulia tu kutoruhusu!

    Salam Wakuu, NImekuja Zanzibar (Unguja) kutembea sasa wakati nazurura na kutalii nikakutana na hilo jengo la Uchaguzi House. Nikasema nipate picha ya pale ikiwemo kujikumbusha kuwa nilipita hapo... huwezi kujua wanaweza kubadilisha design ya jengo au likahamishwa sehemu nyingine tukawa na...
  20. A

    KERO Wakazi wa Matosa - Goba, Mwaka wa 3 tunabembeleza kujengewa kalavati, TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…