picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimemuonea huruma sana Mchina aliyeenguliwa wakati wa kupiga picha

    Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi. Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
  2. JamiiForums Tanzania AI na ushahidi wa picha

    Kupitia AI, Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu. Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia. Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama...
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Picha na Video zilizochapishwa mtandaoni kumuhusu Rais Maduro baada ya kukamatwa na Marekani zinapotosha uhalisia

    Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa anakamatwa ama akiwa katika mikono ya wanajeshi wa Marekani.
  4. JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  5. JamiiForums Tanzania Nadhani hakuna mtu anayetaka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji

    Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
  6. JamiiForums Tanzania Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  7. JamiiForums Tanzania JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  8. JamiiForums Tanzania Trump aonesha picha ya Maduro akiwa chini ya ulinzi

  9. JamiiForums Tanzania Azam Sports Wamefuta Picha zote za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu

    Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu. Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
  10. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ujumbe katika picha ya Lissu, Samia na Mahakama kutoka Kwa bondia Hassan Mwikinyo

    Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha 1. Samia kuwa kifuani, mbele Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani 2. Lissu kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

    Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina...
  12. JamiiForums Tanzania Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

    Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania. Twende pamoja Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025 Maandamano Tegeta 25 Desemba 2025 saa 2. Usiku Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  15. JamiiForums Tanzania Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Hekaheka za Krismasi mjini Chato

    Maandalizi ya sikukuu huko Chato
  17. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  18. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Angalia Tume HURU ya KUJICHUNGUZA

    TUMÉ HURU YA KUJICHUNGUZA......
  19. JamiiForums Tanzania Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…