picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

    Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.
  2. JamiiForums Tanzania Inside a US transport taking off from Kabul

    Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
  3. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  4. JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Wanaume wenye mvuto World wide. Tupia picha Only Handsome men

  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Dkt. Ghalib Bilal akitunuku Shahada NMIST, awataka wahitimu kuwa chachu ya mabadiliko

    Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 4 Dkt. Gharib Mohamed Bilal katika maafali ya 7 ya kutunuku shahada za Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela amewataka wahitimu hao kuwa chachu ya mabadiliko katika kukuza uchumi wa nchi. Chanzo: DarMpya Twitter
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kumbe hii kitu ipo tokea zamani

    Mimi kila siku ninapoona na kusikia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania kuwa wanaume waonywa kuwa wasinyonye maziwa ya wake zao ambayo ni chakula cha watoto basi nilikuwa nafikiri kuwa huu ujinga upo hapa Tanzania tu kumbe upo tokea enzi za utawala wa Roma.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba. Niliwahi kwenda India...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wa PSG waiiga Yanga, wampokea Messi Airport

  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwaajili ya picha za watu wanao fanana

    Peter Msechu aka Tumbo naona kama kafanana kidogo na Mheshimiwa Tundu Lissu
  10. JamiiForums Tanzania I really miss Magufuli, kila nionapo video yake au picha zake machozi hunitoka

    Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana. Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini. Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine, aliipenda Africa yake, hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu. He was...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

    Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM. Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao. Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP...
  13. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

  14. JamiiForums Tanzania PICHA: Ijue BMW 7 Series (Maelezo Mafupi)

    IJUE BMW 7 SERIES- Kwa ufupi Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari UTANGULIZI Ni moja ya gari za starehe iliyoboreshwa kwenye mambo mengu na iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 1977. Leo tutaongelea generation ya 4 iliyoingia sokoni kuanzia 2001 mpaka 2008 inayoshindanishwa na Benz S...
  15. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe zimeonesha picha kamili CHADEMA sio chama makini, kimejaa wapiga kelele

    Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama wanajumuia wa Chadema tulitalajia watupe mrejesho kuwa Mbowe kama chairman na mfanyabiashara mahiri...
  16. JamiiForums Tanzania Tutalii kwa picha...

    Grande Hote, hotel maarufu ya kifahari, Mozambique miaka ya 1960s na 2000s Mahali Titanic ilikuwa ikipack 1912 na sasa... Dubai1985 na 2016... Dubai mwaka 2000 na sasa... Dubai1991 na 2013 Abu dhabi... Mecca zamani na sasa.... Hiroshima, Japan... Same bike, same...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu rangi nzuri ya picha kwenye hisense Tv vidaa

    Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza, Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55'' Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano Picture mode nichague ipi kati ya...
  18. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  20. JamiiForums Tanzania Picha Tafakuri ya Marais Watatu wa Afrika Mashariki wakipata chanjo ya Covid-19

    Hizi ni picha za Marais watatu wa east africa wakichoma Chanjo ya Covid 19. Huu ndo uongozi unavyopaswa kuwa. Kuongoza kwa mfano.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…