picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PICHA: Cheti cha chanjo dhidi ya pandemic kipindi cha utawala wa Sultan Abdulhamid II wa Ottman mwaka 1908/1326 AH

    Habari wadau...! Katika pita pita zangu maktaba nimekutana na hii document ya chanjo kumbe haya mambo ya kuchanjana yalianaza kitambo sana sasa sijuhi hawa wanaokataa kuchanja wanapata wapi ujasiri. Chanjo ilikuwa dhidi ya ugonjwa wa Plague ugonjwa ulisumbua sana dunia ukaenea Afrika mpaka...
  2. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

  3. K

    JamiiForums Tanzania Mada za BBC na picha zao zina malengo gani?

    Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom. Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha huko Nigeria waendako Yanga SC kwa Picha ambayo Msemaji wa Rivers United FC aliyepigwa Rungu Utosini ameisambaza Mitandaoni

    Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la Kisaikolojia la Kwanza kwa Yanga SC. Muda si mrefu Msemaji huyo wa Wapinzani wa Yanga SC wanaorudiana nao...
  5. JamiiForums Tanzania Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

    Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Picha yaanza kuungua polepole

    Washitakiwa namba 1,2,3 katika kesi ya Uhujumu uchumi namba 16/2021 inayomkabili Freeman Mbowe wamekubali Kuwa walikuwa waajiriwa wa JWTZ na waliwahi kufanya Kazi kama makomando na baadae kufukuzwa Kazi kwa sababu za kinidhamu. Pia wamekiri Kuwa wanafahamiana kwani waliwahi kufanya Kazi Pamoja...
  7. JamiiForums Tanzania Picha hii ni somo kubwa kuwa maisha ni safari ndefu sana inayoandikwa ikifika ukomo

  8. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Kumbukizi ya utawala wa Kidikteta Tanzania

    Mabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020. Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
  9. JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM ruksa pamoja kuna Uviko-19. Wapinzani wanazuiwa

    Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa maelezo ya kwanini linazuia mikutano ya ndani ya chama cha NCCR Mageuzi kwa sababu za kiusalama na Kuepusha maambukizi ya Covid-19 kwenye mkoa wa Dar es Salaam lakini limeruhusu mkutano wa CCM kwenye aneo lilelile.
  10. JamiiForums Tanzania Ninatafuta wachoraji wa picha kama hizi za rangi ya maji

  11. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI Duuuh 😥😥😥😥 Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  13. JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA ipo mioyoni mwetu

  14. JamiiForums Tanzania Picha zaidi zinazodhaniwa kuwa za Mhalifu wa Selander

  15. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

    Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi. Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
  16. JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kwenye picha hii?

    Angalia picha hii na jifunze jambo na uepuke lisikutokee.
  17. JamiiForums Tanzania Tupia picha ya kitu kilichokuvutia mpaka ukakipiga picha

    Mimi nilikutana na huu mto nikavutiwa na mazingira yake nikaamua kupiga picha.Huu unaitwa mto nzovwe.Sio lazima yawe mazingira tu bali kitu chochote ambacho kilikufanya uwe interested nacho.Watu,wanyama,cha msingi isiwe tu picha ya mtu akiwa bafuni anaoga
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

  19. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  20. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

    Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi. Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…