picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wapi naweza apple ipod?

    Wapi naweza kupata apple ipod mpya ya aina hii
  2. JamiiForums Tanzania Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

    Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
  3. R

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe very attentive, nani alikuwa anahutubia na issue gani?

    ANGALIA PICHA
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Ipe maneno picha hii

  5. JamiiForums Tanzania Wenye picha za huko Rondo tunaomba mzitupie hapa tujifunze kitu

    Haya wale mliopo huko Rondo Chipota tunaomba mturushie picha za huko kijijini Rondo ili Watanzania wanyonge tuweze kujifunza kitu. Natanguliza shukrani zangu
  6. JamiiForums Tanzania Cecilia Membe Kaolewa? Mwenye namba yake na Picha msaada tafadhali

    Nina shida nae Kubwa na Muhimu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tucheze mchezo wa picha kwa kutumia movie ulizowahi kuona

    Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mapovu yanayokuwa kwenye mimea mbalimbali porini au vichakani ni mate ya nyoka

    Tangu nikiwa mdogo nilisikia na kuamini kwamba ute/ mapovu yanayokuwa kwenye mimea ni mate ya nyoka. Mpaka kufika wakati huu bado sijajua kama suala hili lina ukweli ama la. Naomba wataalamu mnisaidie kujua uhalisia wa jambo hili Kielelezo 1: Picha ikionesha mmea umeachiwa mapovu Kielelezo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukiweza elewa hii picha uwezi bishana na mashabiki Simba

    Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo 1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019 2) Wengi wao dish zimeyumba 3)Wengi wao much know 4) Wenye akili wanajitoa ufahamu 5) Wengi wanabishia uzoefu 6) Watu...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi wa picha za Mzee Membe. Tupia ya kwako

    Naanza na hii picha maarufu zaidi. Nyingine hizi.
  12. JamiiForums Tanzania Picha za kibao cha Kumbukumbu ya Merehemu, extract kutoka Uzi wa "Chanzo cha mabasi ya No Challenge kuitwa Tashrif

    Juzi kati nilivutiwa na thread hii ambayo pia nilikuta ikisambaa kwenye magroup mengi ya Whatsapp including Yale ya Sekondari. Thread yenyewe hii hapa https://www.jamiiforums.com/threads/chanzo-cha-mabasi-ya-no-challenge-kuitwa-tashriff.2092924/#post-46290142 Nakumbuka nilikomenti kwenye Ile...
  13. JamiiForums Tanzania Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
  14. JamiiForums Tanzania Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

    Inawezekana uko Mjini ndio, sema Simatifoni siku hizi hadi vijijini zimezagaa, embu mwambie aliyeko Kijijini akutumie picha ya Mmea wa Kiasili ambao Kikwenu, mnatumia kujitibu kitu fulani. 1. Majani ya Mpapai Aiseee, ukitaka kuongezea Damu kwa wingi na Kwa Gharama ndogoooo, chukua Majani ya...
  15. JamiiForums Tanzania Picha Adimu za Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    PICHA ADIMU ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Nimepokea picha kutoka kwa Mshindo Ibrahim ikimuonyesha marehemu baba yake Mzee Ibrahim Mwinyimvua Makongwa aliyepata kuwa Mwenyekiti wa TANU Iringa wakati Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961 akimuaga uwanja wa ndege wa Iringa...
  16. JamiiForums Tanzania Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

    Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali. ☝🏾Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo. ☝🏾Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wawe wanachaguliwa Wabunge wenye akili. Kuna Wabunge ukiwasikiliza unapata picha wananchi wao wakoje

    Tanzania huwa hawazingatii kigezo cha akili katika kuchagua viongozi. Sehemu nyingi hawachague wenye akili. Wanachaguana tu wenyewe kwa wenyewe. Matokeo yake unakuja yaona Bungeni. Unatizamaaaaaa.... Unasema hiii....
  18. JamiiForums Tanzania Picha la nguvu

    Humu humu huyu mwamba namkubali kwa kulinda privacy za watu
  19. V

    JamiiForums Tanzania Maisha ni kupanga na kupanga nikuchangua picha imenifikirisha

    Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu. HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa. Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani akiwa mwembamba kama sindano wakati hivi sasa ni bonge la mtu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…