picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  2. JamiiForums Tanzania BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

    Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kuja. Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Reli ya gharama kubwa, ajabu, vichwa vya treni yenyewe vya ajabu ajabu

    Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia ni vipi Nape anabaki kuwa waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni kule Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nape anaendelea vipi kuwa Waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni jimboni Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe...
  7. JamiiForums Tanzania KWELI Maeneo nje ya Jiji la Dar es Salaam yalikabiliwa na upungufu wa Mafuta ya Petroli mwaka 2023

    Kuna maeneo fulani nimepita ya mkoa wa dodoma wilayani huko; nimekuta kuna msururu mrefu sana wa vyombo vya moto kwenye moja ya petrol station. Nikajaribu kuuliza kuna shida gani hapa? Wenyeji wanasema mafuta ya petrol hamna kabisa wilayani hapo. Baadhi ya vituo vya mafuta vimesitisha huduma...
  8. JamiiForums Tanzania MVP wa Cameroon na Rwanda kwenye picha ya pamoja

    Sio kwa ubaya lakini. Mnatuchukia kwani kosa letu ni nini?! 😀😀😀 Nunueni jezi kwanza ndio mpate hela ya usajili
  9. JamiiForums Tanzania Picha na Utawala wa Siri

    SWALI KUBWA picha ulizoziona zimekuathri kwa namna gani au kwa ukubwa gani ? (Maamuzi, Mawazo, Hisia, Maisha, Matendo)
  10. JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Picha; kabla na baada ya kusafisha sink la choo

    Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni ,Bei ni 10k kwa choo na7k kwa sink la kunawia nakuja popote kwa waliopo Dar es salaam
  12. JamiiForums Tanzania Tulimpa mwizi mateso haya, kila siku ile picha inanijia akilini

    Miaka ya 2005 wizi wa kutumia silaha za jadi ulikithiri sana Dodoma. Katika kijiji tulichokuwa tunaishi. Pale nyumbani tulikuwa na duka kubwa hivyo siku hiyo jamaa walipanga kuja kuvunja na kuiba. Mida ya sa 5 usiku duka limefungwa, tumeingia kulala, tukasikia jamaa wanafoka nje huku wananoa...
  13. JamiiForums Tanzania Hebu pata hii picha na uone mambo yanayowapata Wanawake wa leo

    Ni kijana msomi au sio msomi ila anajitambua kila nyanja. Ana kipato kizuri, ni God fearing Person, anajua kukaa na jamii yake na kujishusha pale ikibidi. Mpole na ana upendo wa kweli, sio mtu wa wanawake ila ni monogamist, ana uwezo kuhudumia vizuri familia yake na mke kwa kile alichojaliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

    Wakuu Habari za weekend Jana nimedrive gari Kwa umbali kama wa kilometres 2, Nikafungua mfuniko wa rejeta, kilichotokea ni maji kuruka Kwa nguvu Sana kama video inavyoonyesha, Maswali yangu ni kama ifuatavyo 1 shida ni Rejeta 2 shida ni engine 3 shida ni gasket 4 au shida ni feni zile za...
  16. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
  17. JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli au sio utapeli? Je, ushawahi kukumbana na hii hali?

    Thread was deleted
  18. JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana

    Jamii imekengeuka sana Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti.. Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Marekani kuivamia Urusi sasa yatimia

    Vipi wakuu, Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza... 1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia anakwenda kumtandika M-ukraine kwa muda mfupi na kuichukua nchi yote ili iwe Jamhuri ya Rusia hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…