picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha 2014: Mashabiki waling'oa viti baada ya Yanga kumfunga Al ahly BAO Moja

    Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al...
  2. JamiiForums Tanzania Picha ya babu yetu aliyeacha kununua shamba la heka 500 kwa Tsh. 30 akisema hawezi kuishi Kimara porini kwenye fisi!

    Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.
  3. JamiiForums Tanzania Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Umegundua nini kuhusu Harmonize?

  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwekuwa na wimbi za link za video za Ngono Facebook, ukibonyeza tu video zinapakuliwa kupitia ukurasa wako

    Naomba kuwataka watu au Raia wa Facebook kuweka umakini na (links) zenye maudhui ya ngono, kwani viungo (links) hizo zimepelekea wengi kupoteza Umiliki wa account Zao huku zikionekana kuchapisha video za ngono. Hatua hiyo tunaweza kusema “Utakua sio wewe umesambaza link za ngono Lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

    Kwema Wakuu! Sisi wengine ni Watu wa misifa, Watu wa mitandaoni, Watu wa kujionyesha, Watu wa kujimwambafai tukio kama la jana kwangu lingeniongezea Credit muhimu sana. Kutokuonekana inamaamisha sikuwepo ama? Kutokuonekana kwenye picha yoyote au video yoyote ya tukio inamaanisha sikuhudhuria...
  7. JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu hii picha?

  8. JamiiForums Tanzania Hatua za kufuata unapofanya uhakiki wa Picha kwa kutumia Yandex

    Yandex ni njia nyingine ya utafutaji inayotumika sana kufanya uhakiki wa picha. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha. 1. Fungua Kivinjari Chako Anza kwa kufungua kivinjari chako kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta...
  9. JamiiForums Tanzania App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Wadau wakiangalia mpira huku wakigonga vyombo

  11. JamiiForums Tanzania Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
  12. JamiiForums Tanzania Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa watu wa nchi hii. Pia kama ukipita bar au club piga picha nyomi tuone utajiri wa nchi.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

    Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni: kuposti picha / video za uchi, kuposti linki kwenye magroup kuziuza account, kuweka link na kuwatag marafiki kutapeli kutukana / kudhalilisha watu maarufu, n.k...
  14. JamiiForums Tanzania Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

    Habari za leo wakuu, Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini, Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto, Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa, Yeyote mwenye kujua tiba ya tatizo hili au aliyewahi kufikwa na hii shida akaitatua naomba anisaidie...
  15. JamiiForums Tanzania Shujaa wa Afrika aliyepambania taifa lake kumaliza tatizo la Umeme. Mradi wa JNHP ni suluhu kwa taifa letu

  16. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

    Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono. Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga. Kama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Picha hizi ni funzo kwetu

    Picha hii. Kama unaona uislam wako ni daraja l1 badala ya siasa au biashara au cheo chako huu ujumbe muruwa. Kama watoto wako uliwaekeza ktk international school pekee na sio madrasa imekula kwako maana ya kumaliza kisomo ndio basi hakuna atakaekuombea dua
  18. JamiiForums Tanzania Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

    Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Wanasiasa na Vito vya thamani kwenye maandamano by Lucas Mwashambwa

    Batanzania. Ni baeleze. Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post. Ameandika: Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

    Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya? Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…