picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kupitia picha hii?

    Asee 🤔 Tupia neno moja kwa kuangalia picha hii.. kuna mengi sana yamejificha hapo.
  2. JamiiForums Tanzania Karibuni mjipatie picha za kuchora

    Kwa bei nafuu sana unajipatia picha ya kuchora ya kitu au mtu yeyote umpendaye.Kwa mawasiliano: 0685069818 Karibuni mabosi 🙂
  3. JamiiForums Tanzania Umeelewa nini kuhusu hii picha?

  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
  5. JamiiForums Tanzania Hiyo picha itafukuzisha kazi mtu. Ni suala la wakati tu…

    Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi. Mda utaongea.
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Kipenzi cha vijana wa CHADEMA. (BAVICHA) Wanamkubali kinyama.

  7. JamiiForums Tanzania Picha: Magari ya wasiojulikana yanapokosea direction

  8. JamiiForums Tanzania Picha lilianzia pale Balozi wa Nchi dume alipoanza kufuatiliwa nyendo zake na yule Mbunge mustaafu

    Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake. Kutano la kwanza lilipuuzwa. Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  11. L

    JamiiForums Tanzania Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...
  12. JamiiForums Tanzania Wakurya, najua mkiona hii picha hamuhitaji kutafasiriwa

  13. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Picha ya Marais Biden au Putin au Kagame au Waziri Mkuu wa Uingereza wakijipiga 'Selfies' katika Shughuli za Kikazi aniwekee hapa

    Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili Mwabukusi azawadiwa kuku.

  15. JamiiForums Tanzania Yanga yapiga picha rasmi ya msimu kwa jezi za mazoezi

    Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake. Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
  16. JamiiForums Tanzania Mliozitaka picha za Ubaya Ubwela kabla jua halijazama 😄

    Mliozitaka picha za Ubaya Ubwela kabla jua halijazama 😄
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

    Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii picha na mshauri kamanda!

    Gazeti la Guardian leo 2/7/2024.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa majina na picha Viongozi wakuu wa magaidi wa Hamas waliopo hai sasa, wamenusurika mara kadhaa kuuawa. Unatoa ushauri upi kwa MOSSAD

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024 Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ninaombeni zabuni ya sanaa ya uchoraji picha za ukutani kwa majengo ya kisasa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5. Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja. Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…