picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

    Duh
  2. JamiiForums Tanzania Vuta picha, hiki kimbunga kingepiga mji wowote hapa Tanzania!

    Huko Marekani hasa katika mji wa Florida kunatarajiwa kupigwa na kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kwa karne nzima! Watu wote wameambiwa wahame makazi yao kwani aidha usalimike au ufe! Ukiona mpaka Rais anatoa tahadhari kwa raia wake kwa mamilioni kuhama mji, tafsiri yake kwamba kimbunga kitaleta...
  3. JamiiForums Tanzania Ukikutana na your date ambaye yupo tofauti na picha zake anazokutumia utafanyaje?

    Je ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje? Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
  4. JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  5. JamiiForums Tanzania Nauza Sabufa yangu. Ni mpya

    🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM Radio USB AUX Memory Card NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...
  6. JamiiForums Tanzania Picha za uharibifu wa shambulizi la Iran dhadi ya Israel zimeanza kuvuja

    Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel. shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.
  7. JamiiForums Tanzania KERO Wapishi wa Keki za Shughuli Kuweni wasafi, Hizo picha za snapchat zinadanganya sana wateja wenu

    Salaam Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki. Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive. Ushauri kwa mabwana afya na maafisa...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rigathi Gachagua aonekana dirishani akiwachungulia Rais Ruto na Mfalme Charles III

    Nimekutana na picha hii mtandaoni ikimuonesha naibu wa Rais nchini Kenya Gachagua akiwa anawatazama kupitia dirisha Rais wa nchi hito William Ruto akiwa na King Charles III alipotembelea nchi hiyo, nikapata mashaka juu ya uhalisia wa picha hiyo naomba msaada wa kuihakiki.
  9. JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Uwanja wa mpira wa Miguu uliofurika watu wengi ni picha halisi

    Salaam Wakuu Nimekutana na picha hii ya uwanja uliojaa sana watu kupitiliza, je ni picha ya kweli au masuala ya AI haya?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa picha Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Serikali ya Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu kwa picha brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Waziri wa ulinzi wa Iran.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kuna muda ukiwafikiria hawa members wa JF kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael

    Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael . Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
  12. JamiiForums Tanzania Picha makamanda wakuu wa Hezbolah waliuwawa ya tangu kuanza kwa mashambulio ya IDF

    Karibu makamanda wote waliohudumu wameuwawa na kuchaguliwa wengine na pia watawawa tu USSR
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe . Amefika hapo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Imekaa vizuri
  15. JamiiForums Tanzania Star TV kwenye kisimbuzi cha azamu inatatizo la picha tangu asubuhi je hawajui?

    Tangu asubuhi Star Tv haioneshi picha ni sauti tu inamaanisha hawa jamaa hawajui nini kinaendelea au ujinga wao tu USSR
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Muuza Madafu katika majukumu yake ya kiserikali.

    Na mpiga picha wetu. Muuza madafu akiwa katika vazi rasmi la ajira yake,Naaam ni yeye kabisa akiwa katika shughuli zake za kiserikali.
  17. JamiiForums Tanzania POTOSHI: CHAPISHO LA NOTI YA SHILINGI 10000 IMEWEKWA PICHA YA SAMIA KAMA MWANAMKE WA KWANZA RAIS

    Picha hizo hapo
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

    Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka...
  19. JamiiForums Tanzania PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

    Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Iran aliuawa kwa mlipuko wa Pager?

    Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu. Wataalamu wanasema Israel huwa ni wabaya zaidi ukiwachokoza kisha wakanyamaza tu. Haya wiki au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…