picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waliosoma CUBA a.k.a Legends ndio wataelewa hizi Picha

    Kuna ukweli mkali sana ambao utaeleweka kwa wachache.
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CHADEMA ambae husema ukweli daima.

    👇
  3. JamiiForums Tanzania Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

    "Labda najipiga fix tu, ila sio kosa kutumaini"
  4. JamiiForums Tanzania Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ichambue hii picha kwa maana ulivyoielewa

  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: TV Hisense Inch 55 imeacha kuonyesha picha

    WanaJF, Poleni na majukumu. Kama mada inavyosomeka kwenye kichwa cha habari TV ya Hisense imeacha kuonyesha picha na ninahisi kwamba kama bulb zake zimeungua. Msaada tafadhali kwa mafundi waliopo kwenye group ili niweze kuitumia bila gharama kubwa. Asante, Maramojatu
  7. JamiiForums Tanzania Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa na mwanao aliye-disco chuo kisha kupiga picha na 'graduation gown'?

    Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020. Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi. Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
  9. JamiiForums Tanzania Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa Wadada na picha za utupu

    Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo, Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa wasichana wanao jiheshimu na kutaka kulitunza Hekalu takatifu, (mwili ulio umbwa na kubarikiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI KATIKA PICHA

    HII ILIKIWA MATOKEO YA MARA YA MWISHO WATANZANIA WALIVYOJARIBU KUIONDOA CCM MADARAKANI KUPITIA SANDUKU LA KURA.
  11. JamiiForums Tanzania Kilichonikuta picha inaongea

    Wakuu & Wanabodi wa JF. Emu nisiwachoshe. Sina haja ya kuongea sana au kuelezea sana kuhusu hii issue, picha yenyewe tu inaongea zaidi. Ungekua wewe unafanyaje hapa?
  12. JamiiForums Tanzania PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

    Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni katika kuweka historia...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, wanafunzi kufukuzwa shule sababu ya picha za utupu siyo suluhisho na haiwasaidii, wanatakiwa kupewa mwongozo na kuelewa athari zake

    Waziri Dkt. Gwajima D salam, Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa. Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na...
  15. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  16. JamiiForums Tanzania Picha hii ni special dedication kwa Mshana Jr, mwana JF nguli asiye na mfanowe

    Mr. Warthog is untouchable.
  17. JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  18. JamiiForums Tanzania Siku ya Nyerere ila Sare in picha ya Samia? Hii imeenda

    Hii imenihsngaa na haijawahi kutokea, nahisi huko mbele watoto shule watavaa picha ya samia.
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

    Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje? Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe? Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani.. Mabus yanafanana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…