Wakili Peter Madeleka ameeleza kuwa uhuru wa kweli wa mahakama unatokana na mchakato wa namna chombo hicho kinavyoundwa, akisisitiza kuwa iwapo mahakama ingekuwa huru kikamilifu, wananchi wasingelazimika kuombwa kuiamini.
Akirejea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo...
https://youtu.be/eCxcuqDMftY?si=jt5ije0UyztmghrJ
KWA UFUPI:
Wakili Peter Madeleka: Hii ni Moja ya hukumu ambayo nikipata nakala yake ngumu, nitaiwekea fremu na kuitundika sebuleni kama kumbukumbu...
Wakili Peter Madeleka: Mahakama kuu imejipa jukumu la kusikiliza na kutoa hukumu ya kesi ya kosa...
Wakili na Mdau wa Demokrasia, Peter Madeleka, amesema kuwa hakuna demokrasia ya kweli inayoweza kuwepo katika nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa endapo chama kimoja kinamiliki na kuyaamrisha majeshi ya ulinzi na usalama.
Madeleka amebainisha kuwa tangu mwaka 1992, Katiba ya...
Wakili Peter Madeleka amedai kukabiliwa na hatari ya kukamatwa na Jeshi la Polisi, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ametuma ujumbe wa tahadhari akiomba msaada wa haraka kufuatia hali hiyo.
Katika andiko lake ambalo...
"Kama Sofia akiamua kudai fidia kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha, haiwezikuwa chini ya shilingi Bilioni tano za kitanzania" Amesema wakili Peter Madeleka.
Akihojiwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, Wakili Madeleka amebainisha kuwa ikiwa Sofia ataamua...
Serikali haina nia ya kuendelea na kesi. Sasa dhamana inatoka wapi tena? Unampa mtu dhamana mtu aliye na kesi inayoendelea as far as I know.
Masharti yanatoka wapi ya kuripoti kila friday ya mwisho wa mwezi for a year wakati kufutiwa kesi siyo kifungo cha nje. Kuna vitu haviko sawa. peter...
Wakili Peter Madeleka amesema anafunga safari kuelekea Tabora kwa ajili ya kusimamia kesi ya mwanamke aitwaye Sophia ambaye anatuhumiwa kumtongoza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ambaye aliteuliwa Katibu wa Oganaizesheni Ya CCM.
Taarifa hizo zimeibuka kufuatia mahojiano maalum...
DAR ES SALAAM: Jamhuri imemfungulia mashtaka matano ya dharau kwa mahakama (Contempt of Court) Wakili Peter Michael Madeleka (46) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mashtaka hayo yanahusiana na kauli na machapisho anayodaiwa kuyatoa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya...
Hii ni hati ya mashtaka (Charge Sheet) dhidi ya Peter Michael Madeleka, wakili. Kwa ufupi, inasema:
Anachotuhumiwa nacho
Madeleka amefunguliwa makosa 5 ya “Contempt of Court” (kudharau/kukiuka mamlaka au amri ya mahakama) chini ya Section 114(1)(a) ya Penal Code, Cap. 16 R.E. 2023.
Mashtaka...
Wakili Paul Kisabo amesema wamefanikiwa kumdhamini Wakili Peter Madeleka ambaye alikamatwa kwa tuhuma za kudharau amri ya mahakama.
Wakili Kisabo amesema pamoja na kufanikiwa kumdhamini, wameshindwa kuondoka naye baada ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kanda Maalun (ZCO) kuwaeleza kuwa...
Kuna jambo linahitaji mjadala wa wazi, bila ushabiki wa kisiasa wala kumhukumu mtu kabla ya mchakato wa kisheria kukamilika.
Wakili Peter Madeleka amekumbana na hatua za polisi katika mazingira yanayohusishwa na masuala yake ya kisheria. Wakati huo huo, mwaka 2023 mfanyabiashara Rostam Aziz...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa tarehe 14 Agosti 2026, saa 9:30 alasiri, eneo la Mikocheni B, Kinondoni, limemkamata na linamhoji Peter Madeleka kwa tuhuma za kudharau amri za Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu kama “Mahakama ya...
Wakili Peter Madeleka amesema si kosa la kimaadili au la jinai kwa mtu yeyote, wakiwemo mawakili, kuongea na vyombo vya habari kwenye viunga vya mahakama baada ya ahirisho la kesi.
Mahakama kuu ya Tanzania iliwakumbusha mawakili wote wanaohudhuria mashauri mahakamani kuzingatia na kuheshimu...
Wakili Peter Madeleka, amewashutumu baadhi ya wasaidizi na watu waliopo pembeni mwa Rais kwa kumhujumu kiongozi huyo wa nchi na kuingiza taifa kwenye hatari.
Soma: Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON
Madeleka amebainisha kuwa...
https://youtu.be/tN1-smB7nOo?si=j1dEU9tUQi1fNu2N
Anasema:
1. Ameamua kutoka huko ili kuungana na wapigania haki wengine kuipigania haki, demokrasia na utawala bora Tanzania
2. Haoni chama kingine chochote ambacho kinapata uungwaji mkono mkubwa toka kwa wananchi kwa sasa kuliko wakati...
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:
"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI...
Wakili Peter Madeleka amesema Mahakama haiwezi kuwa tawi la chama cha siasa kwa kuwa ni mhimili huru kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Amesema uhuru wa Mahakama hauzuii wananchi kuzungumzia masuala yanayohusu mwenendo wa haki na shughuli za mahakama, akisisitiza kuwa Mahakama inapaswa kuongozwa...
Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania.
Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.