pesa

  1. Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

    Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya...
  2. Anayetaka pesa za bure kutoka online credits aje PM. Walinidhalilisha na sasa nimeupata mwaronaini wao kwa 100%.

    Hawa watu kama nilivyosema kwenye nyuzi zangu za nyuma kuwa hawana vibali vya biashara au wana vibali lakini wanakiuka vibali kwa makusudi kwakuwa serikali zetu za Afrika hazifuatilii shughuli za wawekezaji na wafanyabiashara kwa ukaribu. Haiwezekani mkopo wa wiki moja wandai baada ya siku tano...
  3. Pesa za silva zinapotea mtaani

    Hivi karibuni mtaani kumekuwa na uhaba wa pesa za sarafu kwa maana hamsini, mia, mia mbili, na mia tano. Imefikia hatua makonda wa daladala wanapata shida ya kupata chenchi za kuwarudishia wateja kwa sababu ya hii kadhia. Ukienda dukani na elfu kumi, unaweza unaweza usihudumiwe kwa sababu ya...
  4. E

    Je naweza kurudishiwa vocha kuwa tigo pesa?

    Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo pesa. Mwenye kufahamu naomba anisaidie ushauri naweza kweli kuirudisha iingie kuwa tigo pesa.
  5. Siku ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa una mke mtamu

    Siku mwanaume ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa umeoa mke mtamu. Uzi tayari.
  6. M

    Haya ni mazao matano ambayo hayana mkono wa Serikali, ukikaza huko unachomoka na pesa

    Umaskini wa wakulima Tanzania unachangiwa kwa asilimia 50% na Serikali na asilimia inayobaki ni matokeo ya majanga, mkulima mwenyewe nk, kwa nini Serikali inachangia asilimia kubwa ya umaskini kwa wakulima ni kuwapangia bei, soko na kuwaundia wakulima sera za ajabu ambazo mwisho wa siku huathiri...
  7. B

    SoC04 Tunaelekea wapi?

    TANZANIA TUITAKAYO. Mazuri yajayo yataboresha maisha yetu na kutufanya tujivunie Kwa ukuaji wa uchumi na mabadiriko ya miundombinu .Tujiandae Kwa haya yafuatayo. SEKTA YA AFYA. Jitihada zake zinavutia sana naanza na pongezi. Ugonjwa wa kifua kikuu"TB' huu ni ugonjwa hatari sana,unashambulia...
  8. Pesà na siasa ni vitu vinavyohusiana pakubwa

    Ile kauli ya kusema pesa ndo kila kitu hakika wahenga hawakukosea kwani hili jambo kwenye siasa zetu za bongo limekuwa na nafasi kubwa mno Viongozi na makada mbalimbali huingia sana katika huu mtego wa pesa na hapa ndipo unapokuja kugundua kuwa hakuna mapenzi ya dhati kwa watu ila ni tamaa za...
  9. D

    Ikitokea kenya wakachoma mabank zikiwemo pesa hasara inakuwa ya nani na nani atalipa?

    Hili swali nimejiuliza sana mana wanakoelekea wanaweza kucoma.mabank.
  10. KIWANJA CHA NDEGE CHATO FANYENI CHUO CHA URUBANI LA SIVO MTAKUWA MMEPOTEZA PESA ZA WANANCHI

    Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu. Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona...
  11. D

    ENG : HERSI achoma pesa za wanachama yanga , sema tutaongea akifeli

    UNA VISION KUBWA SANA, WE SUPPORT THAT , JUST MAKE SURE YOU SUCCEED. COST = SUCCESS yanga inaweza ingia kwenye madeni with nothing to show for it. kwa expenses yanga wameingia this year at least SEMI - FINALS.. good luck.
  12. Shetani pacha wake pesa na warembo

    Shalom, Ukubali ukatae penye pesa shetani yupona penye warembo shetani katulia, sasa utaamua wewe na tafakari yako wewe upo wapi na shetani wako umekaa nae wapi. Ni kwa uchache naomba iwafikie Wadiz
  13. Wale jamaa wa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kasi

    wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo. Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi. Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
  14. Malipo yalifanyika nje ya makubaliano, hivyo Pesa zimerudishwa

    Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye ‘account’ ya Coast Union kwaajili ya biashara ya mchezaji wao, Lameck Lawi zimerudishwa mwenye ‘account’ ya Simba baada ya biashara hiyo kwenda tofauti na makubaliano ya pande zote mbili...
  15. Nanunua Google play console

    Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
  16. F

    Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko? Mawazo yenu ni muhimu
  17. Pesa ni shetani

    PESA NI CHANZO CHA MAOV Watu wengi mno si waaminifu kabisa kwenye masuala ya PESA. Tatizo ni malezi au hii ni hulka tu tunayoiendekeza ukubwani? Hili janga limewahi kukukuta la mtu kukosa uaminifu? Ilikuwaje? Umewahi kudhulumu pesa ya mtu aliyekukopesha, aliyekupa ufanye kazi...
  18. Hatua Tano (05) Za Kupata Pesa ya kutatua Dharura za Maisha

    Rafiki yangu mpendwa, Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana. Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
  19. Kushika Pesa, Kisha Zipotee Ghafla na Watu Wako Wapotee

    Utangulizi Usimamizi wa fedha ni ujuzi muhimu ambao unaweza kuamua utulivu wa kifedha na ubora wa maisha ya mtu. Nukuu, "Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄 Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya," inafafanua kiini...
  20. Wazo La Kukuza Uchumi kwa Wakulima an Vijana

    Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko. Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…