pesa

  1. L

    Tishio la pesa za digitali: Je, Serikali zitabaki na Bunduki tu?

    Wazee tunaikumbuka hii? Ilianza kama utani, c lakini sio utani kwa akili ya mwanzilishi mwenyewe wa pesa za digitali. Lengo la Satoshi Nakamoto mwanzilishi wa pesa ya digitali ya bitcoin ni kuleta dunia yenye pesa ambayo haiko chini ya chombo chochote au serikali duniani. Kusudi lingine ni...
  2. Ushauri: Sherehe mbalimbali za kitaifa zifanyike mikoa yote katika viwanja vya CCM, hii itasaidia pesa ya Serikali kutumika kuvikarabati

    Ccm ina viwanja vimetapakaa nchi nzima, lakini vingi vina hali mbaya. Chama chetu hakina fedha za ukarabati. Viwanja kama CCM Kirumba, Kaitaba na vingine vingi, kabla ya mfumo wa vyama vingi, tulitegemea fedha za serikali. Kwa sasa njia pekee ni kuhamishia sherehe za kitaifa katika viwanja...
  3. Gesi yaokoa mamilioni ya pesa za madereva

    KUGUNDULIKA kwa gesi kwenye mikoa ya Kusini mwa nchi, kumeokoa fedha nyingi ambazo zilikuwa zikitumika kununua petroli na dizeli. Hayo yameelezwa na wafanyabiashara wa kusafirisha abiria jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti. Mmoja wa watu hao ni dereva teksi aliyejitambulisha kwa jina moja...
  4. Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani kumekuwa na malalamiko ya chinichini miongoni mwa Watanzania kuhusu hali ya kiuchumi kuwa ngumu. Ugumu huo ulizaa msemo ‘’vyuma vimekaza’’, jambo lililokemewa vikali na Mheshimiwa wa ngazi za juu. Sasa basi, kufuatia hali ya kiuchumi kuendelea kuwa ngumu...
  5. Tusichotambua wengi wetu ni kwamba pesa za mkopo inazokopa Serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali ni pesa zetu

    Wengi wetu tumekuwa mabingwa wa kukejeli pale ambapo Serikali inapokopa pesa kwenye mabenki mbalimbali eti si pesa yetu ya ndani bali ni mkopo jambo ambalo si kweli! Ukweli ni kwamba pesa inayokopwa na Serikali hurejeshwa kwa wale waliotukopesha kwa makusanyo yetu ya kodi kwa makubaliano ya...
  6. Mwanamke aliyemuita Michelle Obama nyani ahukumiwa kwa kudanganya pesa ya kujikimu

    Denver Developer Pleads Guilty To Arson In Conjunction With Grove Street Fire DENVER – United States Attorney Jason R. Dunn announced that Michael Marte, age 54, of Denver, pleaded guilty today before U.S. District Court Judge William J. Martinez to one count of arson in connection with the...
  7. Pongezi kwa taasisi kutoa gawio, Je Rais aanzishe utaratibu sekta binafsi kuchangia kwa hiari? Atakusanya sana, japo wengine hoi, tutachagia tu

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ushauri. Pongezi kwa taasisi kutoa gawio, Je Rais aanzishe utaratibu sekta binafsi Kuchangia kwa hiari? Atakusanya sana, japo wengine hoi, tutachagia tu. Kwanza natoa pongezi kwa taasisi kutoa gawio kwa serikali, ila pia naomba kukiri nimeumia kidogo, baada ya...
  8. Wauza mitumba vijijini, acheni tamaa ya pesa, muwe wakweli, hizi si Travolta

    Mnawauzia vijana winter boots za kike mkiwadanganya kuwa ni Travolta.
  9. Kwa wasio na familia tu: Okoa pesa yako, achana na fasheni kuiga iga

    Inaweza isiwe na umuhimu kwako kwa sababu umeshafanya makosa haya lakini naamini kama ungeyafahamu haya kabla ya kuchukua maamuzi uliyofanya nina uhakika leo hii ungekubaliana namimi kwa hiki ninachoenda kukisema. Siandiki nikiwa kama mtakatifu "hapana" naandika nikiwa kama muathirika mkubwa wa...
  10. Chukua tahadhari unapotoa pesa kwenye ATM, na kwa wakala, tapeli akamatwa na kadi 23 za benki

    Taarifa ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa wizi kwenye mashine za kutolea fedha benki (atm) mnamo tarehe 25/10/2019 katika kituo cha polisi Mbagala maturubai, mzee Ernest Mika Sakala, ambaye ni afisa mwandamizi mstaafu wa jeshi la polisi alitoa ripoti kwamba tarehe 23/10/2011 majira ya 10:00hrs...
  11. Wenye pesa zao, haya fahari ya macho hiyo zitambue peni za gharama duniani, achana na Biki na Cello

    Kama ni pesa nakubali watu wana pesa dunia hii, hivi kabisaaa mimi naenda kununua peni kwa hela bei hizi? Labda siwezi jua huko mbeleni. Ilaa kwa sasa acha niendeleee tu kuziangalia kama hivi na kusoma soma watu wanavyozitumia, ila maamuzi magumu ya namna hii bado sijayafikia.
  12. Natamani siku moja nione JamiiForums kama social media platform inayomuingizia pesa kila mwanachama

    Nina imani kubwa sana na uongozi wa Jamii forum na ninadhani imani yangu inaweza ikawa kubwa kuliko ilivyo sasa. Sijawahi kujuta kuwa mwanachama wa jamii hii pana yenye muono wa aina yake katika kuibua mwamko kwa jamii kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Nimejifunza mengi...
  13. Hawachi: Mwisho wako kutoa pesa kumpa mpenzi ilikuwa kiasi gani?

    Hili swali kuna mtu katandikwa na member wa kuitwa Hawachi kwenye thread moja hivi. Yule jamaa sijui alimjibu nini, nikasema hivi kwa mfano hilo swali ningeulizwa mimi, ningejibuje? Kusema la ukweli kusema la ukweli kusema la ukweli Mimi mara ya mwisho kutoa pesa ilikuwaaaaaaaa...
  14. Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

    Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya biashara yake. Fremu tunajua kila mtu bei zake zilivyo na kadri frem inavyokua sehemu yenye wateja ndio...
  15. Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

    Habari ndungu wana JF , Karibuni tujadili mada hiyo hapo juu Ikiwa una mchumba ambae mnapendana kwa dhati lakini lakini hayupo vizuri kiuchumi na amedhamiria kukuoa. Kutokana na tatizo la kukosa pesa hana uwezo wa kulipa mahari kwenu ili muoane. Na kwa upande wako wewe kiuchumi upo vizur.i...
  16. Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana

    Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana. Leo bi mkubwa alitembelea kibanda kimoja kwa ajili ya kupata huduma ya kutoa salio,na alifanikiwa kutoa kiasi cha mia nane. Baada ya kupata huduma wakati anatoka katika eneo hilo kama hatua tano hivi, ghafla akatokea...
  17. G

    Huyu mtumishi wa Serikali anatoa wapi pesa za kutoa misaada kwa jamii?

    Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha...
  18. Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi. Mfano, waweza pata kazi ya kutafsiri website ya kampuni au mtu kwa Kiswahili au kutafsiri kitabu. Unafanya online malipo yanakuwa kwa njia...
  19. Unapata shida kupanga budget yako na namna ya kuzibiti pesa yako njia hii hapa

    Kutoka meza ya mdau. ELIMU YA MATUMIZI YA FEDHA Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani. Kanuni •Fungu la kumi 10% •Akiba 30% •Matumizi 40% •Dharura 10% •Msaada 5%...
  20. Serikali iache kuchezea pesa za walipa kodi, Pesa za uchaguzi Serikali za Mitaa zirudishwe hazina mara moja

    Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini? Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini. Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…