Habari zenu wadau,naamini wengi wetu tupo poa sana licha ya tishio/janga lilipo mbele yetu. Nina imani kubwa kwamba pamoja na jitihada zetu kujikinga Mwenyezi atatuepusha na hili.
Nisiwachoshe waungwana, Nafikiri tupo wengi ambao hatufahamu mchakato mzima ni jinsi gani kampuni ama taasisi...