pesa

  1. C

    Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

    Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio kwa namna yoyote ile wasifike libya na kupoteza mechi. KUANZIA MECHI YA SIMBA NA YA WALIBYA KUNA...
  2. Tamaa za pesa zimetuponza Simba, tumesajili kimhemko. Sijasikitika sana

    Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi. Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
  3. TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
  4. Pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa yako?

    Bandugu habari zenu, Umekuwa tukikimbisana kutafuta mapesa kila iitwapo leo... Sasa hapo msemo upi umekuwa ukikupekeka mchakamchaka Kati ya pesa zako kumalisa iyo matatiso unasopata AU tatiso ndosinasomalisiia pesa yako!
  5. TTB: Jinsi biashara ya ku burn CD ilivyowajaza pesa vijana hapo zamani

    Kuna biashara za misimu, na katika hizi biashara kuna biashara niliyoshuhudia kwa macho yangu iliyotajirisha mno vijana, biashara hii ilikuwa ni ku burn cd miaka ya 2000 hadi 2006 Mimi nitazungumzia scenario ya mkoa niliopo wa nyanda za juu kusini. Enzi hizo miaka ya 2000s bongo flava ilikuwa...
  6. TBT: Jinsi nilivyotumia maburungutu ya pesa ya kigeni isiyo na thamani kuzuzua mabinti

    Leo ni thursday (alhamisi) sio mbaya kukumbushia kidogo mambo kadhaa, tbt throwbak thursaday. 2011 nilikuwa nimemaliza form six nikiwa na miaka 20, Mitihani tumemaliza mwezi wa pili, vyuo tunaingia october, hapo nina miezi 8 yani. Warembo napishana nao mtaani, naishia tu kuwapa hi, nimefulia...
  7. Kuongeza bei za data, lengo ni kuibana internet isifikie wengi au ni kuota ndoto kwamba wananchi wana pesa za mchezo kununua mabando

    Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria. Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati. kwa sasa ndani ya miezi...
  8. Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  9. Kati ya Mungu na binadamu, je ni nani ampe mwenzake pesa?

    Kati ya Mungu na binadamu ni yupi ampe mwenzake pesa? Lama ni Mungu ndio anatakiwa ampe binadamu pesa! Kwanini mnatuambia tumtolee Mungu pesa?
  10. Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

    Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu, Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye...
  11. F

    Kiingilio cha Gezaulole kilivyobadilika kutoka Jembe / Panga na kuwa PESA.

    Wakuu, Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
  12. T

    Ngoja tuzisubiri hizo pesa IMF tuzipige kama kawa

    Nasikia serikali imepata fedha kutoka Imf kwa ajili ya ujenzi wa majengo madarasa ni vizuri lakini kwa mkoa wa Songwe najua wanafunzi wanaitaji kujiunga kidato cha kwanza mwakani ni wa chache sana kutokana jamiii ya watu wasivyothamini shule. Shuleina form one mpk 4 ina wanafunzi 78. Pia...
  13. Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
  14. Watoto wetu wa Siku hizi 'mnapotupiga' Wazazi wenu Pesa kwa 'Kutudanganya' msidhani huwa hatujui ila tunakausha kwakuwa nasi 'tuliwapiga' Babu zenu

    Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya. Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...
  15. Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  16. Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

    Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!. Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
  17. Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

    Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
  18. Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
  19. Pesa Zilizotolewa na NMB zitavyoshindwa Kuwafikia walengwa Kanda ya Ziwa, masharti magumu bado pia kikwazo kikuu

    Wana Jf Baada ya kusikiliza video inayotrend kwenye mitandao mbalimbali ikionyesha umahiri wa benk ya NMB kuwa mkombozi kwa wanyonge kufuatia benk hiyo iliyovyojipambanua kwa kugusa kila seksheni ili kuwapata walengwa sahihi,kuanzia mdogo hadi mkulima mkubwa. Benki hii inaweza kuzua vichekesho...
  20. Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

    Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…