papa

Pápa [ˈpaːpɒ] is a historical town in Veszprém county, Hungary, located close to the northern edge of the Bakony Hills, and noted for its baroque architecture. With its 32,473 inhabitants (2011), it is the cultural, economic and tourism centre of the region.
Pápa is one of the centres of the Reformed faith in Transdanubia, as the existence of numerous ecclesiastical heritage sites and museums suggest. Due to the multitude of heritage buildings the centre of the town is now protected.
Pápa has a large historical centre, with renovated old burgher's houses, cafes, and museums, including the Blue-Dyeing Museum (Kékfestő Múzeum), set up in a former factory which produced clothes and other textiles dyed with indigo blue under a unique method.
The town is also noted for its thermal baths, particularly a newly constructed swimming complex, the Esterházy family's palace, its grand Roman Catholic church, and Calvinist secondary school; the town is an important religious centre. It also boasts a large park near the centre of town.
The town has been the main center of trade in the wines of the Somló wine region. Pápa was an administrative regional capital from 1945 to 1983.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aikosoa Urusi asema imefanya shambulizi la kinyama Mariupol

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameikosoa Urusi kwa kueleza kuwa vita dhidi ya Ukraine ni ishara ya kudidimia kwa hali ya ubinadamu na kwamba imesababisha mateso na majonzi. Papa Francis (85) hakuitaja moja kwa moja Urusi lakini aliposema kuwa mashambulizi ya Mji wa Mariupol...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Licha ya vita kuendelea, Meya wa Kiev amwalika Papa Francis

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amealikwa mjini Kiev wakati jiji hilo likiwa katika hatua ya kukaribiwa na hali nyingine ya mashambulizi ya Urusi. Ofisi ya Papa ya mjini Vatican imethithitbitisha kupokea barua hiyo iliyoandikwa Machi 8, kutoka kwa Meya wa Kiev Vitali...
  4. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

    Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana. Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi. Soma mwenyewe hapa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Papa wa Kanisa Katoliki anakuwa Mtakatifu kwa misingi ipi?

    Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu? Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically? Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania US pizza chain Papa John's to open 60 outlets in Kenya and Uganda

    The third-largest pizza delivery restaurant in the world Papa John's International Inc's plans to open 60 fast food outlets in Kenya and Uganda from next year, it announced Tuesday. The American Louisville, Kentucky - based pizza chain said it will open the outlets in a partnership deal with...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ujio wa Papa John Paul II nchini Tanzania mwaka 1990

    Hapa mtawaona Anna Makinda, Kingunge!! Rais Mwinyi kipindi hicho akiwa ndo rais wa TANZANIA. Tuwe wakweli Tz inapiga hatua japo ni kwa mwendo mdogo sana. Wengine mlikuwa wachanga kipindi hicho sasa mnandevu. https://www.youtube.com/watch?v=K9hGDiFCTb4&t=1s
  9. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aliwahi kukataa msaada wa fedha wenye tarakimu 666

    Jaribio la Rais wa Argentina Mauricio Macri kutoa zaidi ya dola milioni moja kwa hisani/msaada iliyoungwa mkono na mmoja wa watu wake maarufu nchini Papa Francis alirudishwa nyuma mapema wiki hii, wakati kiongozi wa Katoliki alipokataa zawadi hiyo inaonekana kwa sababu kiasi kilikuwa na nambari...
  10. Brother du

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kisa cha Samaki na chambo

    Habari za uzima ndugu zangu wana JF. Hii ni story ya ukweli kabisa, na ilinifunza kitu flani kwenye maisha. Sasa sio mbaya kama tutajifunza wote kupitia story hii. Katika jaribio la utafiti, nilimshika samaki kambale kwenye mto flani pale Kigoma, samaki huyo niliondoka naye nyumbani akiwa...
  11. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Samehe saba mara sabini: Kisa cha Papa Yohane Paulo II kupigwa risasi mwaka 1981

    PAPA YOHANE PAULO II(POPE JOHN PAUL II)alipigwa risasi mwaka 1981 na raia wa uturuki aliyejulikana kwa jina la Mehmet Ali Agca. Papa alinusurika kufa na Mehmet alikamatwa na kufungwa Maisha Lakini mwaka 1983 Papa akaenda kumtembelea Mehmet jela na kumsamehe kosa alilolifanya la kujaribu kumuua...
Back
Top Bottom