pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    Kama kuna mtu anauza laptop ya PackardBell na Dell inspiron N5040 leo kwa pamoja nijulishe, Donge nono litatolewa

    Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna critical files ambazo hazina backup kwingine. Donge nono litatolewa.
  2. Mwanamwana

    KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  3. B

    Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
  4. A

    Kampuni ya 'Go bet' ni matapeli sana kuweni makini

    Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na...
  5. R

    Hivi karibuni tutaanza kuona Mikutano ya CHADEMA ikivamiwa na mamluki pamoja na vijana wa CCM

    Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa. Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Wananchi Wapo pamoja na Rais Samia

    "Kwenye ziara za Viongozi na matamko ya Viongozi tumekuwa tukiambiwa barabara zitajengwa za Handeni - Kimirashi - Kiteto - Kondoa - Singida. Handeni - Tuliani - Morogoro lakini haikuwahi kutokea. Leo nasimama hapa kuthibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameleta mkandarasi kampuni ya China...
  7. M

    Ujumbe kwa Anthony Lusekelo anayeamini ana tiketi ya mbinguni tayari pamoja na wanaojiita walokole

    PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..." Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
  8. GUSSIE

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  9. Brain Kingdom

    Je, Viongozi hao kuhudhuria hafla za makanisani ni mpango wa kuwagawa wakristo kwa sababu ule upande wako pamoja kuhusu DP World?

    Wasalaam JF, Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini? Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
  10. Zee la madawa

    Askofu Dkt. Fredrick Shoo asema Kanisa la Kilutheri lina imani na Rais Samia

    MHESHIMIWA RAIS KANISA LIPO PAMOJA NAWE Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Fredrick Shoo amesema Kanisa hilo lina imani na Rais Samia Suluhu Hassan na kwamba litaendelea kusimama naye katika maombi na kumuunga mkono katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Dkt...
  11. The Supreme Conqueror

    Mama Samia Mungu yu Pamoja nawe adui yako unaye ndani kwako piga kazi

    Angalizo Mods naomba huu uzi usiunganishwe na uzi mwingine tafadhali. Juzi walikusifia Jana walikuchoka Leo wanakuzomea kesho watakufukuza lakini hao hao kesho kutwa watarudi tena kwako hivyo wazoee endelea kupiga kazi. Walianza wanaojiita wanaojiita wanaharakati kupinga baadhi ya vipengele...
  12. Hakuna anayejali

    Je, Jeshi la polisi limeshindwa na kukata tamaa kuzuia uvunjaji wa sheria kwa Basi zinazojaza hadi kusimamisha abiria?

    Kuna tabia mbaya imeshamiri na imekuwa ni kawaida inahatarisha usalama wa wasafiri. Je, Jeshi la polisi limeshindwa na kukata tamaa kuzuia uvunjaji wa sheria kwa Basi zonazojaza hadi kusimamisha abiria? Hali hiyo ipo kwenye bajaji yani pale mbele kwenye siti yake anapakiza abiria wa2bnayeye wa3...
  13. A

    Mahakama yasema IGA ilikuwa ni Mkataba na Sio Makubaliano

    Na Sam Ruhuza Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu Bandari! Mahakama Kuu Mbeya chini ya Majaji watatu imetoa maamuzi yake kwenye kesi iliyofunguliwa na Wazalendo dhidi ya Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai. Kwenye maamuzi hayo yenye kurasa 91...
  14. A

    DOKEZO Malalamiko kwa NHIF: Nashindwa kupata huduma za Afya pamoja na kulipia kifurushi cha Tsh. Milioni 1.4

    Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao? Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
  15. M

    Wanandoa ni lini mmeoga pamoja na kusuguana migongo?

    Nikisema hapa tuvue mashati, kila mtu aangalie mgongo wa mwenzake, tutakimbiana jinsi kulivyo na taka, sababu mikono yetu haifiki huko katika kujisugua. Mwenye uwezo wa kukusugua ni mkeo peke yake, sasa jaribu kumwambie mke wangu twende tukaoge wote, au njoo nisugue mgongo uone atakavyokukwepa...
  16. BARD AI

    Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  17. Jumanne Mwita

    Museveni pamoja na mapungufu yake, ila kwenye hili la kudinyana mwamba ana maamuzi aisee

    Waganda hasa Bazzkulu. Salamu. Mambo yanakwenda vizuri nchini Uganda licha ya ufisadi wa baadhi ya Watumishi wa Umma na baadhi ya vipengele vya tabaka la kisiasa. Jana usiku, afisa kutoka Benki ya Dunia alinipigia simu kunijulisha kuhusu taarifa kutoka kwa Benki hiyo kuhusu kusitishwa kwa...
  18. Jumanne Mwita

    Museveni azijibu kibabe nchi za Magharibi pamoja na kuwekewa vikwazo

    Kampuni ya Magharibi ilikuja na kupendekeza kuchimba urani. “Nichimbe na upeleke wapi?” Walisema“ Isafirishe nje ili kuzalisha nishati ya nyuklia kwa ajili ya umeme na dawa. Nikawauliza: “Mmesikia fununu kwamba kuna binadamu hapa Uganda wanahitaji umeme? Walitoweka. "A Western company came and...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  20. Mzalendo Uchwara

    Wito kwa EAC, tuharakishe sarafu ya pamoja, dunia itatuacha

    Sarafu ya pamoja itatupa nguvu ya kuingia makubaliano ya kutumia sarafu yetu kwenye biashara za kimataifa badala ya dola ya Marekani. Hususnani baina yetu wenyewe na pamoja na mataifa tunayofanya nayo biashara kwa wingi kama vile Afrika Kusini, India na China. Kama inashindikana kuelewana na...
Back
Top Bottom