ovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Vyombo vya habari vya Tanzania ni vya ovyo kiasi hiki? Lissu ameachiwa na Mahakama au kashinda kesi ya uhaini dhidi ya Serikali kandamizi?

    Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake. Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani. Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
  2. M

    JamiiForums Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

    "Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo. Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni kweli kanisa linatambua kwamba tunapaswa kutembea katika misingi ya uadilifu na kanisa linahubiri na...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Kwa jinsi CCM inavyopeleka nchi ovyo ni rahisi ISS,al Qaeda ,M23 na makundi mengine kutumia mwanya huu kwa tanzania.

    Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi. Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele. Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
  4. kavulata

    JamiiForums Nimejifunza kitu, ukizoea kujiropokea na kutukana ovyo omba usifikishwe mahakamani. Aibu utaiona wewe.

    Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe. https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
  5. Fbn

    JamiiForums Jeshi la polisi tanzania limekuwa la ovyo na linazidi kuwa la ovyo.

    Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu. Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi hawezi kuwa nayo na zile silahaa kwa mtu kama afande muriro mstaafu japo yupo kazini mara moja kwa sifa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Meneja wa CCM Kirumba: Video ya watu wakijisaidia ovyo Kirumba ilipangwa ki-Propaganda ili kutuchafua

    Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Hassan Omar Ali amesema taarifa kuwa uwanja huo una changamoto ya uhaba wa vyoo ilikuwa ni mkakati wa kuchafua sifa iliyopangwa na watu wenye nia hovu juu ya eneo hilo. Hoja ya awali ~ Uwanja wa CCM Kirumba hali ni mbaya. Watu wajisaidia...
  7. Montania

    JamiiForums Mwenye namba ya mganga ambae sio tapeli. Na ambae hana garama za ovyo. Dondosha namba yake apa

    Kama unamjua mganga ambae hana vipengele wala hana garama, ila ni mtaalam kweli kweli dondosha apa namba zake wadau waruke nazo. Hakikisha hana vipengele.
  8. Mad Max

    JamiiForums KERO DAWASA ovyo sana. Siku ya nne Maji hamna Mitaa ya Mbezi!

    Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
  9. Troll JF

    JamiiForums Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
  10. A

    JamiiForums KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  11. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Huwa inakuwaje pale mwanaume kujihusisha kingono ovyo ovyo hadi kupelekea kuharibu ufanisi wa maisha yake kiroho.?

    Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake. Wale wajuzi wa hili swala...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Hivi Halotel inamilikiwa na CCM, kama Chanel Ten au? Wanahuduma za ovyo kama vyoo vya HALIMASHAURI.

    Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au? Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?; Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
  13. Mussa Ramadhani Mussa

    JamiiForums KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Habari zenu wakuu, Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha. Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani. Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
  14. ngara23

    JamiiForums DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tukiwa tumebakiza miezi miwili ya kumaliza mwaka, hadi sasa tukiwa ukingoni, huu ndio uzi wa ovyo wa mwaka huu kwa upande wangu

    👇🏻👇🏻👇🏻 "Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake" https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Onana kwaheri Manchester United, hakuna tena kufungwa ovyo

  17. Inside10

    JamiiForums Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
  18. Son of Israel from Africa

    JamiiForums M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha

    Huyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media. Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Hii Idara ni nyeti lakini inatumika ovyo kwa Nini?

    Angalia kulia na kushoto mwa Mh Rais wote ni maafisa vipenyo najiuliza wapi tunafeli?
  20. M

    JamiiForums FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

    Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
Back
Top Bottom