oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Ziada Seukindo: Mwaka mmoja toka Oktoba 29: 'Bado kuna deni la ukweli na uwajibikaji'

    Akizungumza katika kipindi cha Kivulini Talk, Mkuu wa Programu wa JamiiAfrica, Ziada Seukindo, amesema kuwa mwaka mmoja baada ya matukio ya Oktoba 29, bado kuna deni la ukweli na uwajibikaji. "Unajua ni kama bado tunasubiri ukiangalia hata comments, social media ah ukiangalia event yoyote...
  2. M

    FT: Ligi Kuu Bara: Fountain Gate 0 - 1 Simba uwanja wa Tanzanite Kwaraa| Oktoba 29, 2026

    Kinara wa Ligi Kuu Simba Sc, leo yupo Ugenini dhidi ya Fountain Gate kwenye uwanja wa Tanzanite Kwaraa akiendela kusaka alama kwa ajili ya kujisimika zaidi Kilele. Naini kuibuka na alama 3 leo?
  3. PostGE2025 Je, mpaka sasa Serikali imewajibika kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025?

    Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
  4. A

    PostGE2025 Padre Charles Kitima aongoza misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wote wa Oktoba 29, 2025

    Hii ni misa ya leo tarehe 29, Oktoba 2026 iliyoongozwa na Padre Charles Kitima kwaajili ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya uchaguzi wa mwaka 2025 Oktoba 29. Na sisi tulioko majumbani na makazini tuendelee kuwaombea ndugu zetu waliopoteza maisha, lakini na familia zilizopoteza...
  5. M

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  6. PostGE2025 Oktoba 29, 2025 ilivyonibadilisha

    Kwangu leo ni siku yenye maumivu mengi sana na siku ya huzuni nzito. Nahisi kama vile nina PTSD. Sijui Kiswahili chake ni nini. Mnaojua saidieni. Oktoba 29 imenifanya niwe mtu katili dhidi ya wale wote waliohusika na kuwaua Watanzania na wale ambao wanawaunga mkono hao wauaji. Sikuwahi kuwaza...
  7. M

    Dini na Madhehebu ya Mungu vs Dini na Madhehebu ya Shetani kujulikana kesho 29.10.2029

    Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani. Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October...
  8. O

    Oktoba 29 NIDA kushughulikia watu ambao hawana Vitambulisho Kata ya Mhandu-Mwanza

    Habari za muda huu viongozi! kuanzia kesho jumatano tarehe 28/10/2026 watu wa NIDA watakuwa katika ofisi ya kata ya Mhandu iliyopo katika Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza, watakuwa na kituo cha muda kwaajili ya kushughulikia watu ambao hawana vitambulisho vya nida. Nakuomba uwatangazie...
  9. Salamu za POLE kwa kila aliyepoteza mpendwa wake Oktoba 29, 2025

    Wakuu, Ni mwaka mmoja toka yalipotokea maandamano, ambapo wengi miongoni mwetu walipoteza maisha. Wengine ni ndugu zetu, jamaa zetu, marafiki zetu na hata majirani. Wengine tulinusurika lakini tumebaki na majeraha ya kudumu mioyoni mwetu, wengine walinusurika lakini wamepata ulemavu wa kudumu...
  10. R

    PostGE2025 Mnyika: Chama kitafanya kumbukumbu na Maombolezo ya Siku 7 kuanzia Oktoba 29

    Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29. Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu...
  11. R

    Makonda: Oktoba 28, 29 na 30 ni siku ya kumshukuru Mungu kwa kuitunza amani ya Tanzania

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza Bungeni leo Oktoba 27, 2026, amesema kuwa kufanyika kwa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jijini Arusha ambao ulianza Oktoba 5 hadi 9, 2026, ni ushahidi thabiti wa amani, utulivu, na mshikamano uliopo nchini...
  12. M

    Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  13. CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  14. C

    PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  15. A

    Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

    Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29. Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha...
  16. CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  17. Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  18. PostGE2025 Wale tuliokuwepo tuliokuwepo kwenye tukio la Oktoba 29 tujitokeze kutoa ushahidi

    "Nilikuwa naomba kwa wale wote ambao wanaamini kwamba walikuwepo kwenye tukio la Oktoba 29 wale wenye ushahidi tutokee kwa wingi tutoe ushahidi kwa hii tume ambayo ipo kwa ajili ya kufanya upelelezi. Kama mnavyojua Oktoba 29 wale ambao tulikuwepo tulishuhudia mauaji yalitokea..." "Hii ni kwa...
  19. M

    Yameanza Mbeya Leo. Kufikia Oktoba 29 watakimbia Ikulu.

    Kwa ujumla hii serikali imejaa uovu na wananchi hawaitaki. oktoba 29 wananchi wanareknew upya. Sina mengi.
  20. Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…