oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  2. Nyani Ngabu

    PostGE2025 Oktoba 29, 2025 ilivyonibadilisha

    Kwangu leo ni siku yenye maumivu mengi sana na siku ya huzuni nzito. Nahisi kama vile nina PTSD. Sijui Kiswahili chake ni nini. Mnaojua saidieni. Oktoba 29 imenifanya niwe mtu katili dhidi ya wale wote waliohusika na kuwaua Watanzania na wale ambao wanawaunga mkono hao wauaji. Sikuwahi kuwaza...
  3. M

    Dini na Madhehebu ya Mungu vs Dini na Madhehebu ya Shetani kujulikana kesho 29.10.2029

    Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani. Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October...
  4. O

    Oktoba 29 NIDA kushughulikia watu ambao hawana Vitambulisho Kata ya Mhandu-Mwanza

    Habari za muda huu viongozi! kuanzia kesho jumatano tarehe 28/10/2026 watu wa NIDA watakuwa katika ofisi ya kata ya Mhandu iliyopo katika Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza, watakuwa na kituo cha muda kwaajili ya kushughulikia watu ambao hawana vitambulisho vya nida. Nakuomba uwatangazie...
  5. Cute Wife

    Salamu za POLE kwa kila aliyepoteza mpendwa wake Oktoba 29, 2025

    Wakuu, Ni mwaka mmoja toka yalipotokea maandamano, ambapo wengi miongoni mwetu walipoteza maisha. Wengine ni ndugu zetu, jamaa zetu, marafiki zetu na hata majirani. Wengine tulinusurika lakini tumebaki na majeraha ya kudumu mioyoni mwetu, wengine walinusurika lakini wamepata ulemavu wa kudumu...
  6. R

    PostGE2025 Mnyika: Chama kitafanya kumbukumbu na Maombolezo ya Siku 7 kuanzia Oktoba 29

    Akizungumza leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametangaza maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho ya kufanya kumbukumbu na maombolezo ya siku saba kwa ajili ya wahanga wa matukio ya Oktoba 29. Mnyika amesema kufuatia kikao cha Kamati kuu...
  7. R

    Makonda: Oktoba 28, 29 na 30 ni siku ya kumshukuru Mungu kwa kuitunza amani ya Tanzania

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza Bungeni leo Oktoba 27, 2026, amesema kuwa kufanyika kwa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jijini Arusha ambao ulianza Oktoba 5 hadi 9, 2026, ni ushahidi thabiti wa amani, utulivu, na mshikamano uliopo nchini...
  8. M

    Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  9. Idugunde

    CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  10. C

    PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  11. A

    Mdau: Tusikubali baadhi ya viongozi wa dini kuamsha hisia zetu za Oktoba 29

    Wakuu naona bado wadau mbalimbali wanendelea kutoa maoni yao kuhusu kuwepo kwa kumbukizi au maombolezo ya vifo vya Oktoba 29. Huyu ameeleza zaidi kwa upande wa viongozi wa dini akigusia Catholic Church, anasema kuwa viongozi wa dini wanatakiwa kuwa faraja ya mioyo yetu na sio kuhamasisha...
  12. Carlos The Jackal

    CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  13. Carlos The Jackal

    Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Wale tuliokuwepo tuliokuwepo kwenye tukio la Oktoba 29 tujitokeze kutoa ushahidi

    "Nilikuwa naomba kwa wale wote ambao wanaamini kwamba walikuwepo kwenye tukio la Oktoba 29 wale wenye ushahidi tutokee kwa wingi tutoe ushahidi kwa hii tume ambayo ipo kwa ajili ya kufanya upelelezi. Kama mnavyojua Oktoba 29 wale ambao tulikuwepo tulishuhudia mauaji yalitokea..." "Hii ni kwa...
  15. M

    Yameanza Mbeya Leo. Kufikia Oktoba 29 watakimbia Ikulu.

    Kwa ujumla hii serikali imejaa uovu na wananchi hawaitaki. oktoba 29 wananchi wanareknew upya. Sina mengi.
  16. BIOTOXINS

    Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
  17. M

    Dokezo:Yanayoendelea Ufaransa kuenea dunia nzima. Hapa Tanzania itakuwa zaidi ya Oktoba 29 ya 2025.

    Inasemekana G z wameanza kazi upya. Wamechoshwa na rushwa na ugumu wa maisha huku familia za wanasiasa zikijilimbikizia mali na utajili. Inasemekana yaliyotokea Oktoba 29 itakuwa ni cha mtoto. Safari hii itakuwa mara mbili ya kinachotokea ufaransa. Mwenye kusikia na asikie.
  18. Idugunde

    Vurugu zinazofanyika Ufaransa ni kubwa zaidi ya zile za Oktoba 29 mwaka jana lakini sijaona Polisi wakipiga watu risasi. Hapa nchini kwetu kuna tatizo

    Huko Ufaransa kunafanyika vurugu kubwa sana. Watu wanavunja maduka na kuchoma moto hovyo. Hapa kwetu watu walipigwa risasi kwa kupora simu na chokoleti. Au tatizo ni nini? Watu kuimba wanataka mapinduzi kama ya Madagascar!
  19. Mkalukungone Mwamba

    Kweka arudishwa rumande, kesi kutajwa Oktoba 29

    Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, Laurence Kweka (48), amerejeshwa rumande baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Urassa. Kweka amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Oktoba 15, 2026, na kusomewa shtaka moja la mauaji katika...
  20. F

    Kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025, unamkumbukaje Nyerere?

    Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau. Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu? Hanikiza...
Back
Top Bottom