okello

John Gideon Okello (26 October 1937 – c. 1971) was a Ugandan revolutionary and the leader of the Zanzibar Revolution in 1964. This revolution overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah and led to the Massacre of Arabs during the Zanzibar Revolution, as well as the proclamation of Zanzibar as a republic.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  2. O

    Mbunge Jared Okello Ataka Uchunguzi Kuhusu IEBC Kununua Vifaa Vipya vya Uchaguzi Kila Uchaguzi

    Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali. Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
  3. Archival Sense

    Twinamasiko wants Okello execution expedited

    Hon. Onesimus Twinamasiko (Photo by parliament) Bugangaizi East County MP Onesimus Twinamasiko has called on the government to expedite the execution of Christopher Okello Onyum, who was sentenced to death in April 2026 for the murder of four toddlers. Twinamasiko urged authorities to move...
  4. Mkalukungone Mwamba

    ‘Star Boy’ Okello atambulishwa Rasmi AS FAR Rabat ya Morocco. Kila la Kheri kwako

    Klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji, Allan Okello ‘Star Boy’ kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Young Africans SC ya Tanzania Soma Pia: Biashara ya Kishindo: Mauzo ya Depu na Okello Yainufaisha Yanga SC Shilingi Bilioni 4.6 Nyota huyo wa Kimataifa wa...
  5. P

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu. Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
  6. Jannatul Firdaus

    Biashara ya Kishindo: Mauzo ya Depu na Okello Yainufaisha Yanga SC Shilingi Bilioni 4.6

    Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wameingiza kitita cha Shilingi bilioni 4.6 kufuatia kukamilisha mauzo ya mastaa wao wawili wa kigeni, Laurindo Aurellio ‘Depu’ na Allan Okello. Mshambuliaji Depu amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya Petro de Luanda ya Angola kwa ada...
Back
Top Bottom