ofisi

  1. CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
  2. Hata kama mteja ni mfalme (Customer Caring), Watanzania ni lazima tujifunze kuwa wastaarabu pindi tuendapo kupata huduma katika ofisi za watu wengine

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Hata kama mteja ni mfalme (Customer Caring), watanzania ni lazima tujifunze kuwa wastaarabu pindi tuendapo kupata huduma katika ofisi za watu wengine. Hata kama wewe ni mfalme na una stress zako za kifamilia ndio...
  3. B

    Nahitaji kufungua ofisi ya kusafirisha mizigo na kufanyia clearance naombamsaada kwa mwenye uzoefu

    Ndio nataka kufungua ofisi ila nahitaji ushauri na kunielekeza pa kuanzia, usajili brela nina fahamu pa kuanzia ila sasa taratibu zingine mfano nini cha kufanya kama kuwa certified na TRA na process zingine. Msaada tafadhali.
  4. Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  5. GE2020 Arusha: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, yashiriki kualika watu kwenye Mikutano ya Kampeni ya CCM

    Wakuu, hii kikatiba imekaaje?
  6. Ofisi ya Mufti yawapa mbinu kuepusha mifarakano masheikh Pemba

    VIONGOZI wa dini ya kiislamu wa mkoa wa kusini Pemba, wametakiwa kutodhihirisha kwa wafuasi wao mahaba, upendo na kuvipigia chapuo vyama vyao vya siasa, wanapokuwa wanahubiri kwenye nyumba za ibada, kwani athari yake ni kusabisha mgawanyiko. Ushauri huo umetolewa na Afisa Fat-tuwa na Utatuzi wa...
  7. GE2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
  8. M

    Mama Kijo Bisimba alaani kauli za Magufuli juu ya Mwanamke. Asema kauli zake hazimfai mtu aliyekalia kiti cha Ofisi ya Rais

    Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake. Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
  9. VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

    Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
  10. Chama kilichoshindwa kujenga Ofisi kinaweza kujenga nchi

    Chama ambacho kimewadhulumu wabunge wake kwa michango na kushindwa kujenga Ofisi kwa miaka zaidi ya 25 kinaweza kweli kujenga nchi?
  11. Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

    Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi Mgombea wa CCM ndugu Magufuli sio chama cha Siasa. Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita...
  12. Q

    Vijana wa CCM wamevamia ofisi za ACT-Wazalendo na kuchana bendera kisha wakabandika picha za Mwinyi

    Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera za ACT-Wazalendo na kubandika picha za Mwinyi.
  13. GE2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

    Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa. Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe. Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika...
  14. K

    Natafuta kazi katika kampuni ya clearing and forwarding

    M
  15. Natafuta ofisi ya kusambaza vyakula

    Ninatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana 🥗 🥘 Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na ukatengenezewa) Sample ipo kwenye picha hapo chini 👇🏿 Bei zangu ni 3,000/- TZS tu Call/Text/WhatsApp...
  16. Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Nacte kanda ya kati

    Habari za jioni wana jf, Naomba kufahamu ofisi za Nacte kwa mkoa wa Dodoma zipo wapi? Mimi ni mgeni mkoa huu nahitaji kufika ktk ofisi zao siku ya kesho Jumanne.
  17. Wezi wavunja na kuiba laptop na sukari kilo 25 Ofisi za Mahakama ya Wilaya Njombe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za wizi baada ya kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na kuiba vitu mbalimbali vya ofisi hiyo ikiwemo Laptop tatu (3) na Sukari kiasi cha Kg 25, waliokamatwa yupo aliyeiba na mwingine aliyeenda kuuziwa Laptop hizo. Taarifa...
  18. Arusha: Watu watatu, wakiwemo wawili wafuasi wa CHADEMA wamekamatwa wakihusishwa na Uchomaji wa Ofisi za CHADEMA

    Polisi Mkoa wa Arusha limewakamata watatu ambapo wawili wakiwa dereva na ofisa uhamasishaji wote wa CHADEMA wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kuchoma moto Ofisi za Chadema Arusha 14 Agosti 2020.
  19. B

    GE2020 Wagombea Ubunge wa CHADEMA walioenguliwa wapo zaidi ya wiki moja Dodoma Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
  20. GE2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

    Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi. Chanzo cha mabomu hayo kinadaiwa kuwa ni vurugu zilizotokea baada ya kutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…