The Wiper Democratic Movement–Kenya (WDM-K), formerly Orange Democratic Movement–Kenya (ODM–Kenya), is a political party in Kenya, which originated as a result of the 2005 Kenyan constitutional referendum. The party tends to be more popular among the Kamba people. It is headed by Kalonzo Musyoka, who ran for president in 2007 and served as the vice-president in the Grand Coalition of Mwai Kibaki and Raila Odinga. He is now a member of the main opposition Azimio La Umoja One Kenya Party.
Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, amehama rasmi kutoka chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Rais William Ruto na kujiunga na Orange Democratic Movement (ODM), akitangaza kuwa atatumia chama hicho kutetea kiti chake katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Sakaja alikaribishwa rasmi katika chama...
Kiongozi wa Chama cha ODM na Seneta wa Siaya, Oburu Oginga, amejitokeza kwenye video akiwa hospitalini akiwahakikishia Wananchi kuwa anaendelea kupata nafuu baada ya siku kadhaa za uvumi kuhusu hali yake ya afya.
Oburu alizungumza Alhamisi, Oktoba 15, siku aliyotimiza umri wa miaka 83 na ambayo...
Ofisi ya Kiongozi wa ODM, Dkt. Oburu Oginga, imekanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Seneta huyo wa Kaunti ya Siaya amefariki.
Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, sekretarieti yake imesema Oburu yuko hai, salama na yuko katika hali nzuri, na kuwa Aananchi wanapaswa...
Rais William Ruto ametangaza kuwa Kenya Kwanza na ODM zimekubaliana kuunda muungano wa kisiasa utakaochuana pamoja katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Ruto alitoa tangazo hilo Jumatatu, Agosti 10, 2026, baada ya mkutano wa viongozi wa Broad-Based Government mjini Naivasha. Alisema uamuzi huo...
Kwa miaka kadhaa, jina la Edwin Watenya Sifuna limekuwa miongoni mwa yanayotajwa zaidi katika siasa za Kenya.
Wakati wengi walimfahamu kama Katibu Mkuu wa Orange Democratic Movement (ODM) na mmoja wa watetezi wakubwa wa Raila Odinga, leo anatajwa kama mwanasiasa anayejaribu kujijenga kuwa...
Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimeongeza shinikizo la kutaka nafasi ya Naibu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wake wakimuunga mkono Waziri wa Ushirika na Maendeleo ya Biashara Ndogo na za Kati, Wycliffe Oparanya, kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto...
Nairobi Senator Edwin Sifuna has been removed as the Senate Deputy Minority Whip following changes to the Orange Democratic Movement (ODM) leadership in the Senate.
Senate Speaker Amason Kingi announced the changes during a plenary sitting after receiving a letter dated July 16 from Senate...
The Orange Democratic Movement (ODM) party will not field a presidential candidate in the 2027 general elections, its leader, Oburu Oginga, has said.
Instead, the party has resorted to supporting President William Ruto's bid for a second term.
According to Oburu, the action is intended to...
Orange Democratic Movement (ODM) leader Oburu Oginga has announced that the party will not field a presidential candidate in the 2027 General Election and will instead support President William Ruto's bid for a second term.
Speaking during ongoing coalition discussions, Oburu said ODM had...
The Office of the Registrar of Political Parties (ORPP) has formally recognised the removal of Nairobi Senator Edwin Sifuna as the Orange Democratic Movement (ODM) Secretary-General, effectively validating changes made by the party's National Executive Committee (NEC).
The Registrar's decision...
ODM party imeashiria kuwa huenda isiweke mgombea wa urais mwaka 2027, huku party leader Dr. Oburu Oginga akisema focus yao kubwa ni coalition politics na kuongeza nguvu bungeni.
Akiongea Kisumu, Oburu alisema ODM wants to secure more MPs, MCAs and votes ili wawe na bargaining power kubwa ndani...
Nairobi ODM delegates have endorsed Winnie Odinga as a delegate from Kibra, a move party officials say will pave the way for her to take up a seat in the party’s National Executive Council (NEC).
The endorsement was made during a Nairobi ODM delegates’ meeting held at the JOOF and presided over...
Embakasi East MP Babu Owino says it’s time for fresh energy in ODM. He has asked Oburu Odinga to step aside from active leadership and instead serve as a trustee. Babu believes he is more than qualified to lead the party, pointing to his Linda Mwananchi tours and the huge crowds he attracts as...
Deputy President Professor Kithure Kindiki has said that he is not fazed by the Orange Democratic Movement’s sudden appetite for the seat he occupies.
The Deputy President said he was a master of politics and would not engage carelessly. He spoke in Kirinyaga, where Mt. Kenya leaders loyal to...
For nearly two decades, the Orange Democratic Movement (ODM) has been one of Kenya’s most influential political parties. From its landslide performance in the 2007 General Election to its central role in opposition politics under the Coalition for Reforms and Democracy (CORD) and later the...
Sifuna needs to make a decision on whether he wants to be president or a senator. National mobilisations, like as the Linda Wananchi tours, are only helpful if the goal is to take over ODM or run for a higher office. It appears unlikely for him to take over the party, nevertheless, because his...
Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi hakipigiwi kura. Sasa sipati picha ingekuwa ndio Tanzania.
Sasa basi Raial mbali ya kuwa kwenye...
Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ?
Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.