Leo nimeikiza Clouds Fm's XXL bila ya uwepo wa Dozen lakini bado nimeona show ni nzuri. Wana varieties ya segment ambazo haziboi. Mamy amerudi kwenye Hot3@3 basi utani wao na Mchomvu inakuwa burudani
Clouds wanajua kutengeneza watu, pengo la Dozen lipo lakini sio kwamba kipindi hakiwezi...