Leo nimeikiza Clouds Fm's XXL bila ya uwepo wa Dozen lakini bado nimeona show ni nzuri. Wana varieties ya segment ambazo haziboi. Mamy amerudi kwenye Hot3@3 basi utani wao na Mchomvu inakuwa burudani
Clouds wanajua kutengeneza watu, pengo la Dozen lipo lakini sio kwamba kipindi hakiwezi...
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Maoni ya wadau:
Najua ndugu zangu wa tecno mtakuja hapa na povu kama lote. Ila acha niwaambie tu kwamba hienda hamkuwaza sawa walati mnanunua hivyo vifaa vyenu vya mawasiliano.
Anyway nimechagua kadhaa ambazo ni bei rahisi. Japo zingine zinaweza kuwa refurbished lakini zinaperform vizuri tu.
Watu wengi...
Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka kwenye kikao,dogo alivyotoka nje akawambia waandishi kuwa "badala Rais azingatie ukosefu wa mafuta Sudan...
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku "
@afandesele_king, Msanii wa Muziki
Chanzo Taarifa...
Hili jambo nimekua nikilifikiria kwa miaka mingi bila majibu.Hata wewe hapo ulipo jaribu kuangalia katika familia au ukoo wenu. Unaweza kuta katika ukoo au familia ndugu yenu mwenye roho mbaya ndiye mwenye uwezo kifedha kuliko nyie wenye moyo wa kutoa. Katika jamii tunazoishi yaani wale watu...
Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa.
Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
Yaani hata kama mtu hutatoa shukrani ila umjulishe tu alietuma kua hela imefika, lakini unakuta unamtumia mtu ikishafika ndio anapotea moja kwa moja hatoi shukrani wala hasemi kama hela imefika.
Hii tabia inakatisha sana tamaa
Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama...
Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Wakuu mimi sio mtaalam sana wa magari ila hua naona kuna haya magari ya harrier 240 na Lexus rx 300 kama yanafanana kwa kila kitu.
Ila kwa kua hili jukwa lina wataalam wengi wa magari ningepemda kuelimishwa kuhusu ubora na tofauti zao na bei.
Ahsante.
Kwa nilichokishudia leo na siku mbili tatu zilizopita ni wazi hii kampuni ina hali mbaya.
Kama juhudi za makusudi hazitafanyika si muda mrefu hakuna gari itaingia njiani. Kampuni inaonekana ni wazi kabisa ina hali ngumu ya kiuchumi. Na kuna dalili ya kimgomo baridi kinaendelea. Nina wasiwasi...
Wahusika wa TPDC basi angalau muwe mnatupa updates za mara kwa mara juu ya ugunduzi wa mafuta na uchimbaji wa visima hivyo.
Kwa wasiojua, ipo harufu ya mafuta katika maeneo ya ziwa rukwa, ziwa tanganyika na maeneo ya eyasi wembere.
TPDC tokeni mtuambie kwenye visima mmeona nini maana tunasikia...
Mimi ni mgeni kwenye hizi simu aina ya SAMSUNG kuna zinazoanzia na S..... zingine A.... mfano S-5 na A30 na nasikia tena kuna A7 ipi kati ya simu hizi ni Bora???
Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer.
Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi.
Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.