nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ninayoweza fanya biashara ya mitumba ya watoto Mbeya tofauti na Kabwe

    Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa eneo hilo. Kwa wazoefu wa hii biashara mbeya je eneo gani lingine naweza fanya hii biashara kwa hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

    Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi. Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye. Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

    MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

    Wana Chitchat habari ya mchana Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners' Asanteni karibuni sana wana chitchat.
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba za Mgombea urais kupitia CHADEMA ni nzuri sana, haziwezi katu kurushwa live!

    Kwa mnaofuatilia YouTube channel ya CHADEMA MEDIA TV utakubaliana nami, kila atakaposimama Lissu, unaona nyuso za tabasamu kwa wananchi. Wananchi wanakuwa wakimsikiliza kwa makini kana kwamba yeye ndiye Rais, hanunui jogoo wala hatoi zawadi kwa wananchi maskini lakini wote wanatabasamu. Kila...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Benki nzuri kwa masuala ya Mastercard payments and refunds

    Napenda nianze kufanya manunuzi mitandaoni lakini NMB wamenikwamisha. Mimi ni mteja wa NMB lakini kadi zao za mastercard, hazina hiyo functionality naweza kusema. Nishajaza form yao wiki iliyopita ya kuniwezesha kununua mtandaoni (achana na form ya kulata Mastercard) lakini nikienda kujaribu...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa nzuri ya mafua/kikohozi kwa mama mjamzito

    wadau, Ninaomba ushauri wa dawa nzuri za mafua au kikohozi kwa mama mjamzito wa mimba ya week 37-38. Dalili ni; kikohozi kikavu kubanwa na kifua pua kuziba natanguliza shukrani zangu. regards.
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Nchi nzuri na yenye kila kitu

    Tunayo mito, maziwa na bahari. Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka! Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Wataalamu na watafiti nchini Marekani wameonya wavuta bangi kua sio salama kwa moyo wako. Chama cha madaktari wa Moyo Marekani wamesema uvutaji bangi sio salama kwa moyo wa binadamu, hivyo kabla hujaanza kuvuta bangi shauriana kwanza na wataalamu wa afya. Weed is not good for your heart...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kufungua Car Wash kwa hapa Dar es Salaam

    Wazee natafuta sehemu nzuri ya kufungua Car wash hapa Dar. Mwenye wazo/eneo zuri tafadhali.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mna sura nzuri, mmetisha

    Dah! Hii sijui ndo linaitwa tamasha la mwanamke wa nguvu... Rais Magufuli naona aliwavutia waya na kuongea nao mubashara. Ni tamasha la wanawake wa CCM au nonpartisan event?
  14. JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta jirani mwema, atupenda Watanzania, amkubali sana JPM. Asisitiza upendo, umoja na ushirikiano kati Wakenya na Watanzania tujenge EAC 1

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa. Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua...
  15. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

    Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu.. Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi kozi za uongezaji thamani madini naona kama ni nzuri sana

    Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) ni Kituo cha Serikali chini ya Wizara ya Madini, Kinatoa mafunzo na huduma mbalimbali katika fani za uongezaji thamani madini. Kituo kinatangaza nafasi za mafunzo ya muda mrefu ngazi ya stashahada katika fani madini ya vito na usonara (Diploma in Gem...
  17. JamiiForums Tanzania Ni ipi njia nzuri ya kupunguza uvutaji wa sigara?

    Hallo wakuu, na imani mpo salama kabisa time hii. Samahani naomba kuuliza kwenye uelewa wa swala hili. Ni hivi tangu nikiwa advance level nilikuwa napenda sana na kuvutiwa na cigarette, lakini kutokana na mazingira ya school zetu hizi za boarding nikashindwa kufanya nachotaka na ninachopenda...
  18. JamiiForums Tanzania Tarehe 20/07/2020 sitaisahau, mbaya kwa watia nia nzuri kwangu

    Wakuu natumaini mko salama Niende moja kwenye mada. Tarehe 20/07/2020 ilikuwa mbaya sana kwa watia nia hasa Kigamboni. Nami upande wangu kabla jua halijazama ilikuwa mbaya sana. Kwanza kabla ya hapo COVID-19 ilikuwa imeniathiri, nilikatwa mshahara ili kuwasaidia watu wa chini yangu nao wapate...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yako kwa ufaulu huu akasome kozi gani nzuri Chuo?

    Mdau wa JF hebu to maoni yako kwa ufaulu huu akasomee kozi gani nzuri chuo? History=C Biology=C Chemistry=C English=C Civics=C Kiswahili=C Geography=D Math=F Division I I I. 22. Form Four 2019 Tumpe ushauri tafadhali
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…