MAHABA YASIYOKOMA.
Mimi binafsi huwa ni mpenzi wa tungo mbalimbali za sanaa ya kiswahili.
Tangu utotoni, nimekuwa nikipendelea sana kusoma vitabu na machapisho mbalimbali yaliyoletwa nyumbani ama na mzee wangu au kaka na dada zangu walionitangulia kufika shule. Mpaka sasa nawezasema, nimesoma...