1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi
Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa.
2. Magari...
bei
bora
fikiria
gari
gereji
kabla
kijana
kiwango
kiwango cha juu
kununua
kununua gari
matengenezo
miaka
miaka 10
mtaani
nunua
nzuri
presha
punguza
zaidi ya
Wadau mnaomiliki stationery tupeane uzoefu wa mfumo mzuri unaoweza kusaidia kwenye mahesabu. Ukizingatia stationery ina mambo mengi kama kuuza bidhaa, kutoa huduma kama copy, scanning, printing na sometimes Bei ya printing au copy zinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine means profit...
Karibu kwa mahitaji ya sendozi za mtumba za kiume zenye ubora wa hali ya juu. Duka letu lipo kimara, stop over. Karibu na sheli ya rupeez. Bei ni nafuu.
Mawasiliano: whatsapp 0749343929
Habari wana jukwaa naomba kuuliza ni kampuni gan (brand gani) ya A.C inadumu muda mrefu zaidi bila changamoto, gharama yake sio kubwa na ufanyaji kazi wake ni wa ufanisi zaidi?,
Je ni kweli A.C zenye inverter zinakula umeme kiasi kidogo kuliko ambazo hazina inverter? Naomba wazoefu wa hizi...
Nafahamu kuwa watanzania wanapenda sana Nyama Choma.
Na kiukweli kabisa katika nchi hii sehemu mbili tu katika mikoa miwili ya Arusha na Dodoma ni maarufu zaidi kwa uchomaji wa Nyama na ndio yanayotembelewa na maelfu ya watu kutoka maeneo mbalimbali Tanzani afrika na Duniani.
Maeneo hayo...
Happy Thursday wana JF.
Katika somo la maadili tunafundishwa umuhimu wa kuwa na heshima, unyenyekevu, uvumilivu na lugha nzuri. Haya ni maadili muhimu sana iwe ni nyumbani, kazini, kwenye biashara au taasisi yoyote.
Lakini kuna sehemu moja watu wengi wamechanganya sana. Wamedhani Customer Care...
Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread...
message nzuri ila ina a lot engineering error , iko shallow marketing but in engineering sense it is chaos hakuna good logic flow
https://www.jamiiforums.com/threads/wanachuo-vijana-msio-na-kazi-unaweza-pata-5000-20-00-kwa-siku-kutumia-ai.2367566/
Nalileta kwenu wataalam,
Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo kipindi hiki kutokana na sheria za TCRA za kutaka malipo yote ya nje yaambatanishwe na mkataba wa...
LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara
Umiliki: Mkataba Wa Mauziano
Ukubwa Wa Eneo: SQM 810
Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A"
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road
Maji...
Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali.
Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali.
Je tunaelekea wapi kama...
Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu.
Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari .
Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
Hello wapendwa
Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama
Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa malengo yangu sio kuuza nguo ni kuuza home decor na vitu vidogovidogo vya matumizi ya nyumbani sijajua...
Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu.
Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine.
Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine!
Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna...
MAHABA YASIYOKOMA.
Mimi binafsi huwa ni mpenzi wa tungo mbalimbali za sanaa ya kiswahili.
Tangu utotoni, nimekuwa nikipendelea sana kusoma vitabu na machapisho mbalimbali yaliyoletwa nyumbani ama na mzee wangu au kaka na dada zangu walionitangulia kufika shule. Mpaka sasa nawezasema, nimesoma...
Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa
Kuna wakina mama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.