nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  2. Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  3. Ujerumani yafuta ahadi ya kuisaidia Ukraine kutokana na mbinyo wa kiuchumi nyumbani.

    Jeuri ya serikali ya Ujerumani kutaka kuendelea kwa vita baina ya Ukraine na Urusi zimekufa baada ya nchi hiyo kuamua kusitisha misaada yote ya kijeshi iliyokuwa imeahidi kutokana na bajeti za kiuchumi nyumbani kukataa. Germany freezes Ukraine military aid as budget crisis hits at home
  4. B

    Wakazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa Joseph Mbilinyi A.K.A Sugu kumpa pole

    Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA...
  5. Mahojiano ya Lissu: Hoja tatu kuhusu Abdul kumtembelea nyumbani kwake

    Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote. 1. Kuhusu hoja ya Abdul...
  6. Mwanamke unaposifia chips za baa eti ni tamu kuliko za nyumbani, basi ujue na vitu vingine huko baa ni vitamu vile vile.

    Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni kitamu kuliko mnachoandaa majumbani. Hii ndiyo sababu huwa waume zenu wanarudi wameshiba. Au...
  7. U

    Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku! Aksanteni sana
  8. T

    Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

    Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu
  9. PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
  10. Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

    Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama. Ukimuona mwanamke haeleweki...
  11. Iran walikana kuwasaidia hawa Wahuni je, kwa Kitendo cha Muhuni na Mpumbavu Kufia ndani yao tena Nyumbani Kwake hakujawaumbua Mchana kweupe?

    Ndiyo maana kila Siku huwa nasema Mnafiki yoyote yule huumbuliwa wazi wazi na Mwenyezi Mungu. Kipo wapi sasa?
  12. Mke wangu ni mama wa nyumbani, darasa la 7 lakini ana maono, yuko smart na anaona mbali kuliko mimi

    Sijui niandike vipi aisee! Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali. Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa...
  13. Kazi ni Ile inayokuingizia Kipato. Mama au Baba wa nyumbani siô Kazi kwani Hakuna kipato kinachozalishwa.

    KAZI NI ILE INAYOKUINGIZIA KIPATO. MAMA AU BABA WA NYUMBANI SIÔ KAZI KWANI HAKUNA KIPATO KINACHOZALISHWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Amri ya Mungu ya kufanya Kazi. Inahusu kufanya Kazi za uzalishaji Mali, kujipatia kipato ili uweze kuishi. Yàani Mûngu anapokuambia Fanya Kazi...
  14. Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  15. Mwanangu hali kabisa nje ya nyumbani

    Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri. Sasa huyu dogo he is almost 4 now. Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani. Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote hawezi kula. Ila akirudi nyumbani anakula vizuri tu. Sasa huyu dogo ananifikirisha sana akienda...
  16. Madhara ya maji ya chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani

    Wakuu, Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani. Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo: 1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa? 2. Kupikia - yana...
  17. Mbinu gani ya kuzuia Nyoka wasiingie nyumbani au wasisogee karibu na nyumba? Kuna dawa yoyote ya kufukuza?

    Wakuu, leo nilikua nimelala chini ndan chumbani. Kushtuka naona nyoka mdogo karibu na kichwa changu ikabidi nimuue. Lakin pia kijana ashawai ua nyoka kama wawili mlangoni mwingine upenuni. Nipeni mbinu za kupambana na hawa viumbe ziwe za asili za jadi au za kisasa!!
  18. I

    Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

    Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru. Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
  19. M

    Mbowe anatakiwa nyumbani Nshara.

    Leo Freeman Aikael Mbowe akiongozana na Godbless Lema Mwenyekiti anayemaliza muda wake kanda ya Kaskazini pamoja na Catherine Ruge walikuwa na mkutano wa hadhara Kijiji cha Nshara nyumbani kwao Mbowe. Ni kama Amekataliwa kutokana na idadi ndogo ya watu waliojitokeza huku idadi kubwa ikiwa ni...
  20. Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano. Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…