Familia yako ukiijali na kuipa kipaumbele ni baraka ,na jambo jema.Kuna baadhi ya wazazi hutelekeza familia zao na kutozipatia matunzo na malezi.
Wengine hubagua watoto na kuwatelekeza watoto waliowapata nje ya ndoa. Wengine wenye uwezo huwatelekeza wazazi wao kijijini kwao na hukataa...