Wako huko kwenye baridi ya Norway, wamevaa makoti mazito, wanasimama mbele ya mti wa Krismasi, wanatabasamu kama hakuna kinachoendelea.
Lakini nyumbani, moto unawaka. Watu wanalala kwa hofu. Kila ukosoaji sasa umekuwa kama kosa la jinai. Bila kujua umeongezewa jukumu lingine, jamaa mnayemtaka...